Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Ritar: D,12v150ah
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Tunatoa huduma za kuunganisha umeme wa mionzi ya jua/solar majumbani, maofisini, shule, msikiti, kanisa, mahotel, gest, hospitali, camp sight nk. Umeme una warant ya miaka 2, kwa upande wa nje ya...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Simu kali sana kwa matumizi ya kawaida. 1 ghz duo core processor 512 mb RAM 8GB INTERNAL MEMORY 5MP CAMERA.. inaenda kwa 200000. Napatikana dar..0718355635
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Baada ya kufunga mradi wangu wa airtel money ninaitaji mtu wa kumuzia laine ikiwa na logbook yake mpya kwa elfu 85 (negotiable) niko Dodoma. Anayeitaji ani PM nimpe namba za simu tuwasiliane.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
ziko sokoni
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Get - .com .net .info .biz .co.in .org.in .eu .ws .co.uk .ru .nl For only 20,000Tsh - Valid until April 4, 14. Simply email your concern to info@aldegtechnologies.com and our technical personnel...
0 Reactions
0 Replies
758 Views
Iko katika hali nzuri kabisa, haitumiki sana. jinnocent30@yahoo.com Angalia picha hizo za pikipiki.
0 Reactions
10 Replies
8K Views
Natafuta shamba kwa ajili ya makazi, kilimo na ufugaji njia ya kuelekea Lindi toka Mbagala, shamba liwe Pwani na bei nafuu na kufifika isiwe muda mrefu sana toka Mbagala
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hello wadau..nauza kiwanja Morogoro mjini..kipo mita 200 kutoka stendi kuu ya hiace kwenye barabara ya kwenda boma road...kina ukubwa wa sq 400 na kina ukuta na kina pakana na barabara ya lami.Bei...
1 Reactions
1 Replies
891 Views
Kiwanja kinauzwa chamazi, kipo kwenye mtaa uliojipanga vyema, kila kiwanja au nyumba inatizama barabara, umeme na maji vipo, kutoka barabara kuu mpaka ukifikie ni dk 5 tu. Ukubwa ni ft 50 kwa 50...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
#Kiwanja kipo mita 150 kutoka Barabara ya rami (bagamoyo road),#kina ukubwa wa mita za mraba 1200,#kina siteplan.#0752953860
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF, samahani naombeni msaada ni wapi naweza pata gas ya BP kwa hapa dar es salaam? mimi naishi tegeta, kwa anayejua tafadhali anisaidie. bless you
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kipo Suye Pentagaon Pembezoni mwa mlima kijenga,kuna upepo mwanana,umeme na maji. Kimezungukwa na uzio wa majirani pande zote. BEI INAANZIA 33M. HAMNA DALALI. NIPIGIE O764291222
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Za leo bandugu, Jamani nina tafuta nyumba. - iwe na security ya kutosha - maeneo yoyote Dar ila karibu na mjini. Mfano mwenge, kijitonyama, sinza, kinondoni, ubungo etc. - Ndani kuna fully...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wapendwa, Mimi nilikuwa nafanya biashara ya Grocery hapa Dar es Salaam maeneo ya Kinondoni ila kwa sasa nahamia mkoa mkoa, nauza vifaa vyangu vyote kama vilivyo kwa ujumla ikiwemo...
0 Reactions
4 Replies
8K Views
Nyumba 2 ziko kwenye compound moja. YA KWANZA ina master 1 na chumba cha kawaida kimoja pamoja na jiko, baraza ya nyuma kwa ajili ya jiko, dinnning & sitting room (bei 350,000/-) YAPILI ina...
3 Reactions
30 Replies
9K Views
Hatua 28 kwa 24 Ni eneo chini ya mlima suye Imezungukwa na kuta fence za Waliohamia pia Hakuna Dalali 33milioni tu. Nipigie 0764291222
0 Reactions
1 Replies
977 Views
Wakuu, Natafuta marafiki wa kuchat nao kwenye facebook, ukiwa facebook au hata kwenye google search fadhili paulo Ahsanteni.
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Habari za kwenu.? Naomba kujua ni wapi naweza kuprint business cards kwa bei nafuu hapa Arusha mjini,nataka kuprint 200 Pcs.Ntaka kujua gharama za printing tu,tayari nina art work. Asante sana...
0 Reactions
0 Replies
911 Views
Ni simu ya Samsung Anycall original laini moja made by Samsung Korea bei maelewano 0756627204
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom