Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Mzigo huo inascrach,password locked bei 100,000/ tu! Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
0 Reactions
1 Replies
706 Views
Nahitaji laptop kwa bei ya 650,000/= Iwe HP ama Dell e series. Processor kuanzia 2.4 GHz. Core i3. System type iwe ni 64-bit OS. HDD ianzie 500GB. RAM ianzie 4GB. Iwe na uwezo wa kukaa na charge...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
1998 119700km 600Cc Gari iko katika hali nzuri Matairi mapya Insuarance n road licence paid Inatembea bila matatizo yoyote. Bei 6.5mil Serious buyers only
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Toyota chaser GX100 Engine vvti 6cylinder Price 5m Call 0687029376
0 Reactions
0 Replies
1K Views
iwe ni android pia iwe kwenye good condition
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF. mimi ni estate agents (dalali) kwa yeyote yule anayehitaji 1. viwanja au mashamba ya kununa 2. nyumba/ apartment za kupangishwa na kununua tafadhali awasiliane na mimi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamani nyumba hiyo unapangishwa ipo kiwalani ina vyumba 3 vya kulala,sitting room,jiko na choo ndani. Kodi ni 200000 kwa mwezi.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
brand new HTC 1 x 4 only 380k with full box and accessories contact/watsapp me on 0718660183
0 Reactions
0 Replies
569 Views
Nahitaji kubadilishana nasimu yoyote imago endana nayo ukitaka kujua zaidi Google uione IPO kwenye halinzuri kabisa na ndo naitumia this time
0 Reactions
3 Replies
878 Views
Nauza simu galaxy s2 kwa bei ya 260k iko kwny hali nzuri
0 Reactions
2 Replies
748 Views
Maeneo ya Masaki, Mbezi, Kijitonyama au Mikocheni. Tafadhali nitafute kupitia namba 0784 583389 au 0655 583389
0 Reactions
4 Replies
971 Views
Iwe katika hali nzuri pamoja na hard disc angalau GB 160, RAM GB 2 na iweze kukaa na charge takriban masaa matatu. Ofa iliyopo ni 300,000/=; wasiliana na muhitaji 0659528724, 0768932789.
0 Reactions
7 Replies
951 Views
Ninauza toyota rav 4, Four wheel drive, ya mwaka 2000 Million 8.5 Kwa mawasiliano piga simu number 0262790003 au 0753800808 au 0712464666
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Naomba nipatiwe sifa na bei ya simu ya lenovo A680
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natanguliza Heshima kwenu wakuu!! Nina kajisehemu kangu ka ukubwa wa eka mbili kuna vishughuli vidogo vidogo vinaendelea humo na naona sasa muhimu kuweka fence kwa sababu zote!!! Naomba ushauri...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nina dizaini na kuprint business card kwa bei ya chini kabisa na za aina zote matt, gloss,3d karibu sana mawasiliano 0713603699
0 Reactions
0 Replies
870 Views
eneo: Vikindu (mbele kidogo na mbagala rangi 3). Ukubwa wa kiwanja: 50 x 70 feets. Price: 9.5million contact:
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Kuna sehemu yakuuzia chakula na kutengeneza zile chips kama za Kinondoni inapangishwa. Eneo liko Sinza Mori karibu na Big Bon. Kuna fremu kubwa yakutosha, uwanja wakutosha na maji ya bomba yako...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
wadau nauza lg P990.. camera 8mp... ram.512 internal memory8gb kam upo interested price ni 200„000tsh. contact 0767879784
0 Reactions
0 Replies
668 Views
Piga 0784/0754 626616 kwa maelezo zaidi. Karibu.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Back
Top Bottom