Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Nyumba ipo Argentina karibu na kituo cha mwendo kasi gari inafika mpaka mlango jiko mnatumia watu wa wili na choo mnatumia watu waili maji yapo umeme kwa mwezi 20k unawaka 24h
0 Reactions
8 Replies
533 Views
Jipatie sabuni bora ya Mydło na yakisasa isiyo kuwa na athari kwa mtumiaji au mazingira. ->Inasafisha na kung'arisha tiles,sink. ->Inasafisha ukuta wa rangi ya mafuta. ->Ina safisha rather...
0 Reactions
0 Replies
225 Views
Nyumba yenye vyumba zaidi ya sita vyenye chumba na sebule vinapangishwa kwa bei ya elfu 80 chumba na sebule.....nyumba ni mpya na ya kisasa huduma zote zipo maji ya bomba pia kisima cha emergency...
0 Reactions
1 Replies
482 Views
Sandal nzuri kwa 18000 tu Napatikana mwanza mjini Karibu Sana kwa mawasiliano zaidi @0768480963
1 Reactions
152 Replies
17K Views
Shamba zuri lenye ukubwa wa ekari 700 linauzwa.liko mkoani njombe tarafa ya Lupembe,kwani miundombinu yote iko sawa,na kila ekari ni laki moja na nusu kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Table Lamp inauzwa nzuri sana [emoji95] Bei 60000 Imetumika mwezi tuu like new Location Ilala Contact #0719781424
0 Reactions
0 Replies
270 Views
Nawaletea mzigo huu 250 XLR Honda, kwa Bei Kitonga alietayari na anicheki #0788507074
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Salaam wakuu, Kama kuna mzazi anahitaji mtoto(watoto) wake wafundishwe tuition nyumbani masomo ya Science na Mathematics(Primary) pia walelewe katika mfululizo maalum wa mafundisho ya Kikristo...
1 Reactions
0 Replies
846 Views
FANYA BOOKING YAKO YA USAFI TUPIGIE SASA....[emoji337][emoji337][emoji337][emoji337] [emoji120] UTAPATA HUDUMA YA USAFI WA NYUMBA YAKO NA OFISI YAKO KWA GHARAMA NAFUU KABISA, USAFI WA:-...
0 Reactions
2 Replies
611 Views
Habari mazee! Nahtaji fundi umeme mzuri wa magari anaejua sio mpiga ramli....ka gari kangu kile kidude cha ku charge simu au kupachika mp3 hakipitishi umeme toka jana,....naishi maisha ya tabu...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari za wakati huu, Koding Kids Program ni programu maalum ya wiki 2 ambapo watoto wenye umri wa kati ya miaka 12 hadi miaka 15 watafundishwa masuala ya msingi kuhusu masomo ya sayansi ya...
1 Reactions
2 Replies
478 Views
Samahani kwa anaejua bei za viatu vya plastic Dar, Kariakoo yani "yebo yebo" nahitaji mzigo kwaajili ya kufanya biashara mkoani nina imani vina faida.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wakuu mambo niaje Ninauza korosho zilizobanguliwa kilo 16000tsh na zipo kilo 25 tu mzigo upo mbagala kwa mawasiliano zaidi piga 0692550111.
3 Reactions
3 Replies
622 Views
Mk service Kwa mazalia ya aina zote za wadudu Chini (Ardhini) Majini,mapangoni,maporini Majumbani,majararani,maofisini, ktk magodauni, kwenye vyombo vya usafiri na nk. Karibuni sana
1 Reactions
7 Replies
491 Views
JIFUNZE KUANDAA ANDIKO LA MRADI. (SOMO LA MSINGI) MAMBO YA KUZINGATIA KATIKA MUUNDO WA ANDIKO LA MRADI NA TAARIFA ZA MSINGI KUHUSU ANDIKO LA MRADI Je, unaweza kuandika kwa ufupi mambo ya msingi...
1 Reactions
12 Replies
15K Views
Habari za mchana natafuta kiwanja maeneo ya Chanika au Viwege bajet 1.2
1 Reactions
7 Replies
941 Views
Habari wadau. Nina gari Vitz old model. Engine yake inasumbuasumbua inahitaji either fundi makini au half engine au engine mpya. Half engine nimeambiwa mil 1. Engine kamili mil 2. Mimi nimefulia...
6 Reactions
11 Replies
1K Views
Bei, la Toyota double kibini tsh 75000, hizi nyingine mbili ni tsh 50000.
2 Reactions
4 Replies
525 Views
Habari ya usiku wakuu. Nimekuja tena kijana wenu kwani naamini JF ni uwanja wa suluhisho. 🔥Ninahitaji TOYOTA RAUM NEW MODEL iwe na engine ya 1490cc. 🔥Gari iwe na namba kuanzia DW, DX, DY, na...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Natumai mu wazima... Nauza pumba za dengu kunde na soya kwa jumla kilo ni 200 napatikana Tandale sokoni... kama wewe unatengeneza chakula cha kuku au ng'ombe karibu sana. kwa mawasiliano 0674...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom