Habari wadau!
Kama Kuna mtu mwenye POS wakala ya NMB ambaye ameshindwa Biashara anichek fasta nahitaji hiyo kitu. Maana nimeenda Branch za NMB wanasema hawatoi hizo machine kwa Sasa
Nipo Dsm...
MODEL INFINITY ONE EDUCATION
RAM 2"GB
STORAGE 64 GB
PROCESOR 1.4 GHZ INTEL ATOM
SCREEN SIZE 10.1 INCH
BETRIE HOURS 8
INA USB HUB, MIN HDMI, HEAD PHONE PORT,
CONVERTABLE LAPTOP UNAWEZA KUITUMIA...
Dear Pigabet Customers,
We regret the inconvenience that had been caused to you during our upgrades for the past week.
However, we would like to inform you that withdrawals through Tigo...
T-shirts/Shati/Jeans/Bukta Kali Sana Za Mtumba Grade One
Hizi Ni Nguo Ambazo;
1. Hazichuji rangi
2. Hazipauki haraka
3. Zinadumu kwa muda mrefu
4. Huwezi ukaivaa alafu ukapita mtaani ukakuta kuna...
Nyama Safi kabisa ya Kitimoto (my wetu) Imeandaliwa vizuri imeshatolewa mafuta na ngozi ya juu! Kwa wakazi woote wa wilaya ya kinondoni mnafikiwa chap kwa haraka!!
Nipe order yako mapema...
Kuna shule moja inaitwa Olduvai sec IPO Moshi Kilimanjaro. Majengo yake yako imara na Ina vyumba vya kutosha vya madarasa, maabara, dinning hall, mabweni, kiwanja Cha mpira, maji all the year...
Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO) Ltd imeanza utaratibu wa kuwasambazia wateja wake kuanzia maofisi hadi majumbani bidhaa mbalimbali za Kongwa Beef, Nyama Yenye Ubora wa Kimataifa, kutoka kwenye...
Vijana wengi hawana elimu ya kutosha na kukosa kufanya kazi za kuajiriwa kwenye company mbalimbali ila BF SUMA ni company inayookoa vijana wengi kiuchumi na kiafya, bf SUMA ni company inatoa...
Habari za Muda Huu wanajukwaa. Kulingana na changamoto za kukatika Kwa Umeme Kila Baada ya nusu Saa, Sasa nimenyoosha mikono na nimesalimu Amri wakuu.
Tafadhali Sana Naomba mdau mwenye Generator...
Habari za kuamka wajomba,
Natafuta mashine ndogo itakayoniharakishia kazi ya kumenya ndizi kwa uharaka zaidi.
Kutumia kisu nachelewa sana wateja wananizonga.
Kiwanja kizuri kwa ajili ya makazi kinauzwa Kinyerezi - Songas mbele kidogo ya mitambo ya kuzisha umeme ya Kinyerezi 1 na Kinyerezi 2.
Kiwanja kipo eneo la kishua (Kwa wale wanaopajua Kinyerezi -...
Wadau wangu wa nguvu, kwa wale wa Morogoro, kwa shilingi 12,000 pekee utapata kuku wa nyama kuanzia mwezi wa 12 kuanzia tarehe za 20 karibu karibu na Christmas 🎄.
Tupeane ka support hapo...
Karibu ujipatie vitabu vya ufundishaji wa mifugo ya ngurue yenye tija kutoka kwa wafugaji na wakulima waliobobea.
Pia utajipatia kitabu hiki kwa elfu 17. Kitabu kikiwa na muunganiko wa toleo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.