Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Ndugu wadau kutokana na mgao wa umeme unaoendelea hapa nchini usikubali biashara zako zisimame tunazo standby power diesel generator kwa affordable price kuanzia Kva 10 na kuendelea.PERKINS...
0 Reactions
5 Replies
985 Views
Kwema wandugu....! Mbele yenu ni kijana wa miaka 24 na form six leaver miaka minne nyuma natumia jukwaa hili la jf kuomba msada jinsi ya kupata pikipiki ya mkataba kwani Niko katika jiji la Amoc...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
KUGANDA KWA ASALI. Kitalaamu nyuki hutengeneza asali kwa kuchukua unga wa maua ujulikanao kama pollen (chavua) na majimaji matamu ya maua yaitwayo nectar (mbochi), kutoka katika vyanzo mbalimbali...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF! Natafuta soko la unga wa ubuyu na mafuta ya alizeti, yeyote anayeweza kunisaidia kupata soko, tuwasiliane kwa 0757140014 whatsapp or sms or call. Asanteni
1 Reactions
5 Replies
2K Views
I.S.T inauzwa Iko na good condition, AC Haina tatizo lolote Ipo Magomeni Contact: 0757788686
2 Reactions
2 Replies
355 Views
Habari wakuuu, Mimi nauza miwa kutoka shamba moja Kwa moja, miwa mizuri kabisa Kwa matumizi ya juice na kutafuna. Pia naomba Kwa anayejua sehemu ya uhakika nayoweza kushusha mzigo nikauza Kwa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
HP Pavilion dv6RAM : 4GB Processor: core i5 Hard Disk Drive : 500GB DVD-RW WEBCAM Battery last up to 3 hours Who come first take it first Price: Tsh 530,000/= (negotiable) Contact: +255769142586...
0 Reactions
84 Replies
8K Views
Karibuni kwenye Mada: Najua umewai kusikia, kuona ama kufahamiana na watoto wanaoishi mitaani!? [emoji848] Najua una viulizo kuhusiana na hilo[emoji2309]!???? Katika maswali yako Ulishawai...
2 Reactions
9 Replies
914 Views
Habari wadau, Nauza gari aina toyota hilux surf, ni manual gear. Ina engine mpya ya 5L na gari haidaiwi wala haina shida ya kiufundi na bei ni 9,000,000 tu. Karibu kwa maongezi 0714-796778 na...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Nyumba ipo kwenye mauzo kwa yeyote mwenye uhitaji tsh.50m, vyumba 3 kimoja master, dining, kitchen, sitting room na public toilet kiwanja chake robo tatu heka. Inapatikana Manispaa ya Songea...
0 Reactions
0 Replies
397 Views
Kama hizi zilizoko kwenye picha
0 Reactions
2 Replies
432 Views
Bado ni mpya nimenunuliwa zawadi, lakini mie sina matumizi nayo, thamani yake ni 370,000 ila mimi mtu akinipa 250000 namwachia. Karibu pm.
0 Reactions
2 Replies
413 Views
Android car radio tshs. 200,000/ fixed 📞 0785335350
0 Reactions
2 Replies
493 Views
Hello! Kuna jamaa yangu anatafuta taasisi ya mikopo inayotoa mkopo kwa haraka hapa DSM. Dhamana ni kadi ya gari. Ukipatikana atakuja hadi ofisin kwako. Karibuni.
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Karibuni sana wakaz wa jiji la dar es salam na mikoan .. tumeleta mzigo kwa bei ya jumla tuh elf 20 unapendeza For more infor call/whatsp 0767603688. Note kwa dar n free delivery kwa mkoa...
0 Reactions
9 Replies
797 Views
Natafuta nyumba ya kupanga au appartment maeneo ya Kurasini, Sabasaba, Mtoni, au kwa Azizi Ali DSM. Nyumba iwe na kuanzia vyumba viwili au vitatu vya kulala, choo na jiko. Sehemu yenye usalama...
0 Reactions
2 Replies
773 Views
Ni fundi mzuri wa kudesign na kuotesha bustani za mashuleni, nyumbani na maofisini, napatikana Tegeta-Dar es salaam na mikoani pia nafika. Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba +255687239674 au...
1 Reactions
0 Replies
537 Views
Wadau nauza camera Canon 4000d EoS Ina lens tatu ambazo 18-55mm,55-250 mm na professional digital lens Ina adapter ya 64 gb Type of product DSLR Pamoja na charge yake. Bei ni 650k Kama upo...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Internal storage 128gb Battery 5000mAH Single line, korean Model. Camera 48MP wa 20MP Simu inakaa sana sanaa na charge, Network connectivity ipo vzr sana Camera siongei.. Simu halali hata...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Back
Top Bottom