Wakuu kama kichwa cha habari kivyo hapo, nahitaj shamba/eneo , heka moja au mbili kwaajil ya kufuga, iwe ndani huko nje ya mji
Mwenye kuweka pendekeza vijiji labda niende au mwenye kujua mtu...
Habari gani wanazengo? Nahitaji Plot safi maeneo ya Moshono, Arusha.
Budget yangu TZS 7,000,000/= mpaka 9,000,000/=
Kati ya Sqm 450 na 600sqm
Kisiwe mbali na Lami.
Iwe imepimwa safi kabisa...
Pata vitabu 2 kikiwemo kitabu cha FIKIRI NA UTAJIRIKE (THINK & GROW RICH-SWAHILI EDITION) kwa shilingi elfu 10 tu,
Kitabu cha 2 ni, MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI, Offa hii haihusishi...
Habari Wana jukwaa
Hongereni na poleni kwa changamoto ngumu za ujenzi wa nchi.
Maelezo
Kiwanja kinapatikana wilaya ya ilala, Jimbo la Ukonga. Kata ya Kitunda
Kutoka Banana unapanda gari za Magole...
Ekali 7 zina parachichi za mwaka mmoja na nusu
Lina hati miliki
Maji yapo karibu
Kijiji cha Mfriga-Lupembe(Njombe vijijini)
Nusu kilomita kutoka barabara kubwa ya Vumbi
Karibu kwa taarifa...
Habarini wakuu,ukurasa huu nitaweka bidhaa mbalimbali ninazoziuza sana sana za cake na vyombo vya jikoni.
Mawasiliano yangu ni
0746685756
Nita update kila mara vinapoingia.
Tunafanya delivery na...
Ni vitabu vya ujasiriamali, biashara na maendeleo binafsi vilivyoandikwa kwa lugha ya kiswahili. Kila kimoja kina mada za kipekee, havifanani. Unaweza ukanunua kimoja, viwili au hata vyote vitatu...
1. MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI
Kitabu chenye kozi zote za biashara na ujasiriamali, jinsi ya kuandika michanganuo ya biashara na mipango yenyewe halisi ya biashara mbalimbali. Unapata...
Ni kama mita 300 kutoka kiwanda cha Twiga cement wazo hill mkono wa kulia ukiwa unaenda Goba au Madale. Kiwanja kina ukubwa wa Square meters 1000+ bei sh 35m. Maongezi yapo. Mimi ni mwenye mali...
Location ni Iringa mjini miyomboni mkabala na msikiti wa ijumaa
Pia Kinondoni studio kituoni kushoto ukitokea magomeni
Whatsap/call 0718 239 676 &0713 291 172
Karibuni GOBA
Nnaviwanja 3 vinakaribiana GOBA Center Ni umbali wa dk 5 kutoka barabara kuu Hadi viwanja vilipo kwa pikipiki
1 hiki ni ML 7 kinamsingi wa nyumba vya vyumba 2 ukubwa wa eneo Ni sqm...
Kipo Kibaha kwa Mathias.
Ukubwa wa squire meter 600
Milioni 3
Umbali km 5 toka Morogoro road
Barabara nzuri imewekwa lami, bado kidogo ikamilike
Umeme na maji vyote vimefika kwenye kiwanja
0672...
Je, Umeshabadilisha Muonekano wa Nyumba Yako [emoji3060]
Kama Jibu ni Bado Karibu Wallpanel Decor Tukubadilishie Muonekano wa Nyumba Ofisi Frame n.k [emoji94][emoji16]
Tunaweka Wallpanel design🫣...
Habari wakuu, title inajieleza,
Spec RAM kuanzia 4Gb
Hdd kuanzia 500Gb
Processor 2.4 Ghz
Battery iwe inakaa na charge
Hata kama ni Used lakini iwe kwenye condition nzuri..!
Hela iko mfuko wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.