Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Waungwana..naomba kujua bei ya kiwanja cha kawaida cha kujenga nyumba ya kawaida ya vyumba vitatu eneo la bunju shule karibu na barabarani karibu na kabisa la roma hapo....natanguliza shukrani.
0 Reactions
1 Replies
347 Views
Bestates Properties Contact: 0786157788 Kinauzwa • TSh bilioni 5.5 (mazungumzo yapo) Kina hati • matumizi ya biashara Pia tunapatikana: Facebook @BestatesTanzania Instagram @bestates_tanzania
0 Reactions
456 Replies
57K Views
Wakuu natengeneza na kuunda majiko ya kuchomea nyama kwa kutumia gesi ,majiko yanatumia gesi kidogo kwavile ni low preasure na pia yanachoma kwa haraka sana na pia yanadumu kwa kipindi kirefu...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Ipo gari aina ya Toyota hiace inauzwa kwa bei ya 22M na laki 3 maongezi yapo gari ipo katika hali nzima kabisa...Full a/c Pia gari inapatikana Dar es salaam kuja na fundi hukatazwi karibu sana...
0 Reactions
4 Replies
822 Views
Kama kichwa cha habari kinavyozungumza. Nina shida ya mtu mwenye vitendea kazi vya kucopy video/mkanda wa sherehe na kuhamishia copy kwenye computer kama soft copy au kuburn kama DVD. Kama upo...
0 Reactions
3 Replies
673 Views
PS 4 fat gb 500 zipo Gem 7. FIFA 2022 WRC7 Pes2021 Mortal 11 combart God of wall Need for speed heat Gta5 Pad 2 hazina kipengere Fika anza kucheza kabla hujalipia Price Tag read: 590,000 net...
0 Reactions
0 Replies
283 Views
Nauz maziwa ya watoto aina ya SMA, APTAMIL na COW and GATE original kutoka UK, bei ni tsh 55,000 kwa kopo la mil 900, Naleta kwa order ambayo inachukua siku 10 unalipi unapopokea mzigo... For...
1 Reactions
8 Replies
9K Views
Habari wakuu, Natafuta laptop Used aina ya Lenovo corei 7
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu kherii! Inahitajika gari tajwa hapo juu. Iwepo dar. Iwe rangi nyeusi. Tukikubaliana bei nakuja na fundi kukagua gari fast tunafanya biashara. Nicheck 0747282028
0 Reactions
1 Replies
663 Views
Kama una ndoto ya kumiliki sedani ya injini kubwa barabarani basi nmekusogezea hapa mashine hii makadilio ya kuichukua kumbuka huyu ni mnyama zaidi ya mnyama maajabu yake yanayosimuliwa kwa crown...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
NATOA HUDUMA ZIFUATAZO KATIKA UJENZI : KUCHORA RAMANI ZA MAJENGO KUSIMAMIA UJENZI KUFANYA MAKADIRIO YA UJENZI HII NI MOJA YA KAZI ZANGU NILIZOFANYA KUANZIA KUCHORA MPAKA KUSIMAMIA UJENZI ( 0758...
1 Reactions
12 Replies
977 Views
Ewe Mzazi Baskeli za watoto zipo sokoni changamkia fursa Condition: New&Used Colour: Blue&pink Training wheels Bell Basket Water bottle Price: 150,000/= Tunapatikana Tabata Dar es salaam...
1 Reactions
10 Replies
578 Views
Habari za wakati huu wapendwa? Natumai mko poa. Niende moja kwa moja kwenye mada. Tanzania ya leo wajasiliamali tumekua wengi na tunajihusisha na shughuli za utengenezaji na uuzaji wa bidhaa...
4 Reactions
34 Replies
9K Views
Tunapenda kutangaza bima ya afya na maisha,yaani mkono wa pole kwa wafanyakazi na watumishi wa makampuni mbalimbali. Kampuni ya Acclavia insurance brokers ikiwa imedhaminiwa na Strategies na...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za mchana natafuta kiwanja maeneo ya chanika au viwege.bajet 1.2
0 Reactions
11 Replies
618 Views
Karibu sana, kwanza kabisa Utaratibu wa kutumia Mashine za VFD/EFD ulianzishwa kwa lengo la kumrahisishia mfanyabiashara katika utunzaji wa kumbukumbu za mauzo/biashara za kila siku ili kuondoa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Kampuni ya HARD DISK ni SEAGATE, Size: 8TB Price: 250,000 Contacts: kwa muhitaji tuchekiane PM Location: DAR - M/CITY HARD DISK lazima utest ujiridhishe na size ya DISK ndipo utoe pesa...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Laptop stand Plastic 25,000/- Aluminium 40,000/- 0623 137 099 Jamhuri street - Dar es salaam Delivery ipo .
0 Reactions
2 Replies
416 Views
Zikiwa zimebaki siku kadhaa kabla majira ya mwaka 2022 kuisha basi sisi GETRICH BUSINESS CONSULTANTS tunatoa offer ya discount ya hadi asilimia 20 kwa kuandika events proposal zenye ushawishi na...
3 Reactions
4 Replies
364 Views
Back
Top Bottom