Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
used ina masaa 3000 ya lamp,yaliyotumika ni 290 tu,ni pm mwenye kuhitaji
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wakuu.. Nilikuwa nahitaji Samsung s2 Mm nitakupa tecno phantom A plus (A+) #imetumika for only 2 month..still in gud condition. Nakupa na all tx accessories. ##PM me...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Sumu mwilini husababishwa na:- Je wajua soda tunazokunywa zinaacha rangi kwenye figo coca nyeusi mkojo wa njano kama coca ukiweka kipande cha nyama baada ya siku 2 kimuyeyuka je mwili wako...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nauza simu tajwa hapo juu, iko poa na haina tatizo lolote, inatumia line ya tiGO tu. Unapewa na charger tu. Bei 80,000/= Nipo DSM. Pm inahusika.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Samsung s4 copy one bei yake.:: 350,000 samsung camera.. (hii sio camera, ni.simu pia.) bei yake..:: 230,000 samsung watch (engine) bei yake.: 130,000 (unaweza kutumia kupokelea simu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
heshima kwenu, natafuta frame/mlango wa kukodi. Eneo la mjini dar es salaam. Ikiwa ni posta, akiba, mnazi mmoja, samora na kwingineko. Kwa ufupi sehemu ya mjini yenye movement, niko tayari...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
LG E400 NI SMARTPHONE IMETUMIKA KIASI.!!! BEI :100,000 Punguzo tunaongeaaa NOKIA LUMIA 610 IPO KWENYE HALI NZURI SANA... BEI .: 150,000 NOKIA ASHA 210 INA ONE WEEEK TUUU BEI,::: 100,000...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu nauza simu yangu aina ya nokia asha 311 Touch screen Camera Viber Instagram Watssup Camera 3.15 MP BEI TSHS.130,000/= Niko dar es salaam. simu yangu ni 0683-124870
0 Reactions
1 Replies
998 Views
Kwa wale wanaoitaji powerbank za uhakika na zinazodumu muda mrefu wanitafute. Naambatanisha moja hii ina 5600mAh na bei yake ni 40, 000. Na kuna variety nyingine nyingi tu...nitafute kupitia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
WE GLADLY WELCOME!! YOU TO GIZMOTECH STORE LIMITED® GIZMOTECH STORE LIMITED® NOW OFFER A ANNUAL SALE!!! We are dealers of all kinds of Mobile Phones Such as Apple Iphone, Blackberry, Nokia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
jamani ndugu zangu mimi ni mfugaji wa kuku wa nyama ninatafuta soko la kuku, ninao kuku 800 wa nyama na wana uzito wa kilo 1.5 kwa mawasilianonijibu nitakutafuta nakuletea hadi mlangoni kwa bei...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Toyota kluger ya mwaka 2003, imetembea 16,7747 km Engine 2AZ, 4clnder Cc 2389 Ni kwa mil 10.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nilikuwa nahitaji kujua utofauti wa kingamuzi cha startime na kile cha azam katika malipo,ubora na kipi kina stesheni nyingi za tanzania pia kama hukufanikiwa kulipa mwisho wa mwezi je kingamuzi...
0 Reactions
0 Replies
507 Views
Kiwanja chenye ukubwa robo eka kinauzwa. Kiko Tegeta Salasala karibu na IPTL. Kiko kwenye eneo la utulivu. Kina hati ya zawadi (Deed of Gift) Chote ni TZS 50 Million. Nusu TZS 30 Million. Kuna...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau Jipatie Samsung Galaxy Tab 10.1 kwa bei poa kabisa, ipo safi kabisa na bado mpya kabisa Bei: 600,000 fasta tuwasiliane wakuu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nokia e6 for sale ram:256mb cpu:680mhz internal: 8gb + 1gb rom nakupa na memory ya 32gb na cable ya tv kuangalia na cable ya kusomea flash ipo cul na nakupa battery mbili... Ina cover na apps...
0 Reactions
0 Replies
912 Views
Ipo Saw-Mill,Sombetini. Barabara,umeme na maji vipo. Imejengwa kwa miti na kiwanja kikubwa. Bei tsh.20,000,000/=.Call 0715313676
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cresta 1g Kavu gx 90 inauzwa Bei karibu na kupewa Bure ni sh 3400,000/=.Maongezi yapo...Serious buyer Twanga PM nikupe maeelezo ya kina. KARIBU MTEJA!!
1 Reactions
6 Replies
2K Views
natafuta tractor used mwenye kuuza PM
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nauza wine ma dompo,saint anna n.k kwa bei chee buku 6300 tuu wanaoititaj mizigo mikubwa niambien
0 Reactions
10 Replies
12K Views
Back
Top Bottom