Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Kwa yeyote ambaye anataka simu original, mpya smart fonz kwenye box lake kabisa...ninauza at an affordable price...aina zote za samsung, aina zote za htc na sony xperia pia...napatikana kwenye...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni Condenser mic ambayo zinatumia USB na unaweza kuunganisha Direct kwenda kwenye Computer bila kupita kwenye Mixer Brand Model: Recording Tool MCU-02 Kutoka Ujerumani. Package yake ilivyo �...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Ni wapi nitapata bidhaa za tressa kwa bei ya jumla?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwenye nyumba ya kupanga Ruaha, Kidatu Kilombero saizi ya idadi ya vyumba yoyote , umeme maji na choo cha ndani tuwasiliane kupitia 0764 562051. Naihitaji haraka kuishi kwa miaka kadhaa.
0 Reactions
0 Replies
795 Views
brand new Michael Kors, MK watches, price only Tsh 35,000/= NEGOTIATABLE, few pieces left, serious business, interested whatsapp 0654586644.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nimerudi tena na uzi ule ule kama kawaida ndani ya biashara ya samaki mzigo unaingia daily usisubiri mpaka madaktari wakushtue wala usingoje ndugu waje wakununulie ukiwa kitandani ninaleta samaki...
0 Reactions
0 Replies
710 Views
Nina heka zaidi ya 1700 ambazo ninaweza panda mazao haya, maharage,mahindi, ufuta,alizeti,soya,tumbaku,ulezi etc. Mwaka huu nimepanda heka 120 za maharage ambayo yana mteja tayari na tume saini...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
nauza simu yangu ya brackberry curve 2 kwa tsh elfu 90 tu sababu ya kuuza naitaji nauli ya kwenda mkoani haina tatizo lolote
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani nauza blackberry 8980 mpya imetumika kwa wiki moja nauza na kila kitu chake original serious buyer aniwhatsapp kwny 0768-020787
0 Reactions
2 Replies
921 Views
Jaman hz sim za huawei Y300-100 zinasumbua saaaana hadi kero, ukiongea na mtu mawasiliano yavurugika ghafla.we unamskia lakin yeye hakuskii.mwenye kujua mahali ambapo naweza kutenengezewa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu, kuna altezza inauzwa iko katika mazingira mazuri sana! Ina gia 6! Inauzwa; 9 million. Location; Dar es Salaam Kwa maelezo yote na jinsi utakavyoipata, wasiliana na mmiliki wa gari...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu kuna radio za gari aina ya Sony naziuza kwa bei nafuu ya 150,000 price negotiable Zinakubali flash na dvd Niko Dar es Salaam Kwa mawasiliano ni PM Pia kwa wanaotaka za jumla...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari wakuu naomba mwenye mzani wa dukani aniuzie BAJETI YANGU NI TSHS.50,000/= Namba yangu ni 0786404808.
0 Reactions
2 Replies
934 Views
Ina sittingroom, dinning, kitchen, three bedrooms, kimoja ni masterbedroom, ina choo cha public ndani na choo cha public nje, ina gezibo au sehemu ya kupumzika ndani ya fensi garden ndogo na fensi...
0 Reactions
0 Replies
823 Views
kwa anaeuza memory card kwa bei ya jumla nilikua nataka 2gb kwa bei ya chini ya 6000 kama 100 hv 1gb kwa chini ya 5ooo nijuze nitazipata wap!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nyumba (pagala) lenye eneo la 20m kwa 25m inauzwa kwa bei ya Tsh 25,000,000/=. Lipo eneo la Saw Mill - Sombetini.Kwa mawasiliano Tel. 0715313676.(price negotiable) Bei maelewano.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Shamba zuri la ekari 50 linauzwa kwa pamoja. Ni mahala pazuri pia kwa mradi wa viwanja kwa wale wanaoona mbali na wenye uwezo au sehemu kwa ajili ya ujenzi wa taasisi za kielimu. Lipo kilometa 4...
0 Reactions
0 Replies
762 Views
Ndugu wajumbe natafuta nyumba ya kupanga Eneo:kijitonyama Type:kitn..bedrm..toilet..sittn..+parking Budgtet:200k-250k Payment duration: 6mounth
0 Reactions
2 Replies
890 Views
We are looking for a sales person(preferably a man) for a new Turkish generators' company opening soon in Dar es salaam. Qualifications: Computer skills, knowledge in Swahili, English and Turkish...
0 Reactions
0 Replies
832 Views
Kwa picha za angalia attachments! Kodi 250,000/=....malipo ni miezi 6! Sifa: -UnaLUKU yako -Chumba na Sebule -Unakitchen na Bafu/Choo chak0 -Hapo bafuni unaelectrical heater ya maji moto! -Tiles...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Back
Top Bottom