Nimeamua kuishi Kilombero. Mwenye nyumba nzima ya vyumba vyo vyote sehemu za Ruaha na vitongoji vyake hapa Kilombero tuwasiliane haraka ntachukua yote kwa familia yangu.
Habari zenu, Kuna rafiki yang anauza Samsung Galaxy Note II imekua upgraded kutoka 4.1.2 kwenda 4.3 version! Na uwezo wake n 32gb ndani! Black in colour! Na ana makava ya kutosha ya gold na...
Ninatafuta mbegu za maharage ya Muccuna na Sunnhemp,kwa yeyote anayefahamu mahali wanapouza au kulima kwa kiasi kikubwa naomba anijuze...humuhumu....nitamwelekeza namna ya kuwasiliana nami,ili...
Habari zenu wakuu
Tunatoa bando la gb 5 hadi unlimited la vodacom pia tunauza modem za vodacom kwa tsh 30,000 tu na universal modem kwa tsh 35 000 tsh
Tunatoa huduma ya ku-unlock wireless...
Nina mbuzi toka igunga, nawauza kwa 80000/- kila mbuzi nakama utanunua mbuzi zaidi ya 20 kila week utaletewa mzigo mpaka hapo ulipo, Ila within Dar es salaam.
Kama unahitaji mbuzi naomba uni PM...
Tunatengeneza computer za aina zote desktop,laptop na kuludisha data ktk computer yako kama zilifutika au computer kuwa formated ukapoteza data zako tunaziludisha pia,na tunatengeneza...
Wadau naomba mnisaidie kama naweza kupata kioo cha mbele(wind screen) cha Jeep Cherokee ya mwaks 87/89 pamoja na taa(parking lights na indicator zake za mbele). Tuwasiliane tafadhali. Nimejaribu...
Matofali mazuri 800 ya ukubwa wa 5" yanauzwa kwa Tzs 950 kwa kila tofali, yapo Mbagala along kilwa road, atakayenunua yote kwa mkupuo mmoja bei 720,000, usafiri ni juu ya mnunuaji pia gari kubwa...
tunatengeneza car ports kukinga dhidi ya jua na mvua kwa bei nafuu kabisa.bei ni kuanzia milioni 2.3 kwa size ya magari mawili na bei inapungua kiasi kadri namba ya ports inavyoongezeka.kwa...
kampuni imesajiliwa brella,tra na crb.
Kampuni ina leseni za building material supply&hardware,
building construction,
pamoja na timber supplies.
Kampuni ina website pamoja na simu ya mezani...
Ninauza bata mzinga katika viwango vifuatavyo. Dume Mkubwa ni Sh.150,000; Jike Mkubwa anayetaga Sh. 100,000 na Wadogo wa umri kati ya miezi 4-5 Sh.50,000. Kwa atakayehitaji anitafute kwa namba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.