Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
iPhone 5C is going for a quick sale, brand new in the box with all accessories...earphones, data cable/-charger and power adopter Specs ; 16Gb inbuilt memory, LTE Technology, Wifi, GPS...
0 Reactions
1 Replies
891 Views
Nina desing kadi za mialiko, business card.kwa bei ndogo. pia.typing kwa speed sana.. bei zetu ni.sawa.na bure. tupo Kinondon au tucheki kwa 0716154531 tutakuletea ulipo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu nahitaji laptop aina yeyote ila iwe i3 au i5, Ram 4gb Hdd 320_500Gb Iwe inakaa na chaji angalau kwa masaa manne na kuendelea. bajet yangu ni 400000
0 Reactions
23 Replies
2K Views
habari zenu wana jamii, baada ya kupata usafiri mpya nimeamua kuuza pikipiki yangu aina ya honda cc90 nyekundu imetumika kiasi. Iko dar es salaam na bei yake ni laki sita. Kwa anayetaka kuiona...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
nauza 260 kama upo fresh pm
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Josee popote pale ulipo tafadhali tuwasiliane. Ilikuwa ni arusha 1982-1988 tulikuwa arusha vijana road. Tuliendesha wote baiskeli. Tuliogelea. Shule ulikuwa arusha school. Sunday school--kkkt...
0 Reactions
0 Replies
860 Views
NB: Iwe ya disel plz!!! Kwa maelezo zaidi +255 754-75-45-93
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau naomba mnisaidie kujua wapi nitapata machine za kuprinti vitabu, gharama zake na aina gani ya machine inaubora?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwenye external ya 1TB tufanye biashara.... fasta
0 Reactions
3 Replies
695 Views
Habari wana JF. Nauza nyumba yangu,ina vyumba 3 ambapo kimoja ni master bedroom,sitting room,dinning room,kitchen na public toilet, pia ina gypsum kote,. Nyumba imekamilika mtu anaweza hamia...
2 Reactions
58 Replies
9K Views
imetumika kwa miezi 3 .bei ni 250000 ipo katika hali nzuri ina wi-fi pia camera yaani primary
0 Reactions
4 Replies
886 Views
vyumba 2 vya kulala choo jiko sebulemaji umeme isizidi laki na ishirini
1 Reactions
2 Replies
2K Views
nina Nokia E52 kwa 200,000 na nina Nokia E72 kwa 150,000 zote zipo vyema kabisaa nipo tayari kukusikiliza kwa utakayehitaji!! Nichek kwenye namba 0758158730
0 Reactions
5 Replies
1K Views
nina design kadi za mialiko, business card, typing with very high speed and accurate bei sawa na bure. tupo kinondoni au piga 0716154531. tutakufikishia ulipo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nahitaji fremu ya stationery karibu na chuo au kituo cha basi nipm au 0716154531
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nyumba zinauzwa moja ipo Sinza palestina nyuma ya msikiti karibu chuo cha sheria LAW SCHOOL UNIVERSITY tsh million 250 cash. Na nyingine Sinza A maeneo ya mlimani city!! tsh million 200...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu....nahitaji kununua pikipiki kwaajili ya biashara .Budget yangu ni laki nane tu na iwe kwenye hali ya kuridhisha kabisa!mwenye nayo ani PM
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tafadhali sana nahitaji kununua ikiwa mpya na niko Mwanza.Kwa yeyote mwenye kujua zinapatika duka gani na bei yake anijulishe.Si vibaya hata kama nikipata taarifa kutoka Dar,Nairobi ama Kampala...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
simu tajwa hapo juu zinauzwa kwa bei rahisi y300 tsh 145000 na y210 laki na 30 tuwasiliane kwa 0785206252
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Naitaji laptop kwa anae uza weka picha na bei
0 Reactions
1 Replies
954 Views
Back
Top Bottom