Hallo. Habari za kutwa. Poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa.
Napenda kuwajulisha wale wanaojenga kuwa kuna mabati ya migongo mipana yanauzwa. yapo kama mabati mia moja yana urefu wa mita tatu...
Wakubwa mwenye gari hizo tajwa hapo juu ambazo siyo kajanja yaani siyo zile sijui D4 ambazo muuzaji anajua kabisa kuwa ni kimeo tuwasiliane na offer yake.
Htc one v inauzwa, ipo kwenye hali nzuri sana, still bado mpya, ina almost two weeks,,
nipo morogoro..
Bei 220,000
kwa walio seriouz na biashara:::
Call
text
whatsapp :: 0785673240
This is good news to you all, that now you are safe!
Chartered Technology is a company in Tanzania that provides Smart state-of-the-art and innovative range of security technology solutions to...
CHUMBA kinapangishwa.
Chumba kipo Morogoro maeneo ya MAFISA, KODI sh/= 30,000, unalipia miezi 6, kina maji kina umeme.
Kwa wanaohitaji..
Text and call: 0652013761
Whatsapp: 0785673240
Pata website kwa ajili ya biashara yako kwa shilingi laki tatu tu ful package. Unapata domain name, unlimited email accounts, hosting ya mwaka mmoja na inaunganishwa na facebook na twitter page...
Hello wana jamii, samahanini kea usumbufu, sijui kma ni jukwaa husika au laa, natafuta nyumb ya kupanga hapa dar, iwe kino,knyama mwenge mikocheni nk. Kodi iwe chini ya 150000 kwa mwezi. Ni pm...
Habari wana Jamii Forum,
Nauza Bajaji aina ya TVS KING yenye usajili namba T....CAP kwa Tshs 3,100,000 tu! Nime renew Bima mwezi huu na Sumatra pia imelipiwa.
For serious buyers tuwasiliane kwa...
Shamba linauzwa lipo morogoro dakawa barabara kuu ya kwenda dodoma ni mitaa 600 toka barabarani.Ekar 1000,lina mifugo na miti asili ng'ombe 150. mbuzi na kondoo 170.linauzwa pamoja na mifugo yake...
Habari Wanajamvi.
Katika kuhakikisha siku ya wapendanao - VALENTINE DAY inakuwa ni nzuri na yenye kukumbukwa daima, Kampuni ya EDMARK inayotengeneza VIRUTUBISHO kutoka Malaysia, inakuletea...
Nauza Toyota Noah New model imetoka siku 5 zilizopita kwa Milioni 11 tu ni ya 2003..rangi ya silver na ina cd..dvd..camera ya reverse na 17inch alloy wheels.Karibuni sana.Umaweza kunipigia kwa no...
Times Air Conditioning has provided quality service for residential and commercial customers since-2011 from our home base here Magomeni Dar es salaam. As the company has grown and is growing to...
Kwa mtu yeyote mwenye simu hizo hapo anataka kuuza aniPM au unaweza kuacha comment hapo chini,
kama ni used ziwe katika condition nzuri pia bei iwe reasonable na itajwe kabisa
We are Professional Engineers Registered by the Board of Engineers of Tanzania.
You might need a close supervision of your construction works and the fund available for the works. Working with...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.