natafuta sumsung galaxy tablet 2 au tab 3 original inayotumia sim card budget yangu ni 300,000 mwenye nayo ani pm au whatsap 0767251838 tufanye biashara.
Nikon D3200. Inauzwa iko katika Hali nzuri sana bei Tsh 1200000.00 Contact 0712652110. Dar .Pia Kama Nahitaji camera video camera za aina yeyote wasiliana na mimi
Habari!
Nahitaji frame au office maeneo yafuataywo..! Msasani, makumbusho, mwenge, kijitonyama, mikocheni na sinza..! Mwenye kujua wapi zinapatikana, tafadhali nijulishe. Bei isizidi laki 2.
We are Professional Engineers Registered by the Board of Engineers of Tanzania.
You might need a close supervision of your construction works and the fund available for the works. Working with...
Hallo Wana JF,
Natafuta External HDD 1TB/2TB
Iwe ni Mpya au Slightly Used.
Brand Name Can be Transcend/Samsung/WD or any Good Brand.
Badget Yangu ni Tsh80,000
Baada ya ajira kuwa ngumu nimeamua kujikita kwenye biashara ya korosho
Nauza kwa kg 1@ 15000/=
nusu ni sh 8000/=
napatikana kwenye no 0764167260
au unaweza kuni pm karibuni sana
Kwa wale wahitaji na wenye kupendelea korosho zilizokwisha banguliwa zinapatikana kwa kilo 1 @ 15000/=
weka order yako mapema namba yangu ni 0764167260
Hallo. Habari za kutwa. Poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa.
Napenda kuwajulisha wale wanaojenga kuwa kuna mabati ya migongo mipana yanauzwa. yapo kama mabati mia moja yana urefu wa mita tatu...
Wadau nahitaji simu tajwa hapo juu, iwe inayo kubali line ya tigo tu na bei laki moja. Iwe powa yani kioo kisiwe na michubuko.
Nipo Dar es salaam, mwenye nayo aniPM.
Simu iwe na headphone chaja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.