wana jf nina laptop yangu aina ya Toshiba,RAM 2 GB,hard disc 160 GB ila betri haitunzi moto kwa muda mrefu,bei yake laki mbili na nusu.Kwa anaye hitaji aniPM au nipigie simu no 0764 810815,nipo Dar.
pikipiki aina ya HONDA yenye namba za usaili T 763 BTN wajanja wanaiita daz kisanga katika hali nzuri inauzwa moshi mjini kwa gharama ya laki tisa tu wahi sasa
Inauzwa kwa bei ya 380,000(negotiable kidogo)
4.0 inch superamoled screen
1gb ram
8gb internal memory
with SD card support
Android 4.1.2 (custom rom ya Dmod v6 with some S4 features)
5mpx...
Wana jf ninaitaji kituo cha mauzo ya pikipiki hizi za kichina ambapo naweza lipa 3 installation mil 1 kwa sasa, mwezi wa 4 laki 5, na mwisho namalizia mwezi wa 5, kama ipo hiyo au anayejua namba...
Item: Wireless-G Access Point with SES (WAP54G V3.1) - Cisco Systems!
Condition: Used
Features:
Has IEEE 802.11g that supports data rates of up to 54Mbps.
It is backwards compatible with...
Kuna wimbo mmoja miaka ya 1990's R.T.D walikuwa wanaupiga kipindi cha x-mass hadi mwaka mpya ......baadhi ya mashairi Ni
Akolele mama akoleeee........
viva x-mass*3
uunaitwajee??? Kama mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.