GARI LA KUKODI MJINI DAR 2 DAYS LINAHITAJIKA IWE X-TRAIL OR HARRIER (self Driving), kwa yeyote anayejua pa kupata hiyo gari naomba msaada wa kunielekeza aidha hapa au PM ikiwezekana naa rate...
Wakuu wapi ntapata mashine ya Diagnostic kwa huku Arusha? kuna taa ya check engine ya prado imewaka sasa garage niliyoenda leo haina hiyo diagnostic computer. 0716-904626
Nimetafuta miaka nenda rudi wimbo wa "Mkono wa Idi" bila ya mafanikio. Sijui kama ni Salum Abdallah akiwa na Cuban Marimba au wakati akiwa Morogoro Jazz... mwenye kuwa nao naomba mnitumie...
Mbwa/German mwenye umri wa miaka miwili na nusu namuuza kwa shs 100,000/=,amechomwa chanjo na sindano zote muhimu. Sababu ya kumuuza- nahama mkoa,napatikana Tabata-Dar
Updates;
Mbwa...
Habari....wakuu kuna chumba na sebule kinapangishwa buguruni..mitre 150 kutoka soko la buguruni au ofc za cuf...bei ni laki na themanin...chumba kna tiles...gypsum ..na n self.maji yapo...
Unatafuta spare parts za magari madogo na makubwa,magari ya kununua ,Generators, air Compressors,Car wash machines n.k tutembelee kwenye website Welcome to Jordan Express Company Limited! -...
Habari wakuu.
Nauza simu used aina ya Nokia c3-00 rangi ya pink, iko safi bila dosari yoyote. Inakaa na chaji kwa siku 3 bila internet. Ina 3G, wifi etc. Bei ni elfu hamsini, haipungui hata...
SHAKE OFF PHYTO FIBER,
- Inaondoa tatizo la kukosa choo kwa haraka zaidi
- ni njia ya haraka iliyo nzuri na nyepesi ya kuondoa msongamano wa uchafu mwilini
- huwa kama sponji kwa kufyonza lehemu...
forever alovera living products
kwa anayetaka mzigo ninao wa kutosha kabisa popote ulipo utaletewa hata kama mkoani
mawasiliano na bei ni maelewano
0784562131
0714812375
Kiwanja kinauzwa Morogoro eneo la Kilimanjaro mwanzoni kabisa,kimepimwa,kiko eneo la biashara na ni medium density.Msingi wa nyumba ya kisasa umeshajengwa.Bei shs 18m. Kwa anayehitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.