Nina kiwanja changu sqm 850 kigamboni gezaulole , eneo limejengeka vizuri na nyumba za maana, barabara zimeshachongwa na wanamtaa, tayari watu wameshajenga nyumba za maana na wanaishi..sitaki...
Wadau habari za saa hizi....kichwa cha habari kama kinavyozungumza nauza htc one used kwa 650000/- tunaweza kuongea kidogo kuhusu bei....nimetumia kama miezi 3 ipo kwenye hali nzuri haijawahi...
Ndugu msomaji kama kichwa cha habar kinavyojieleza nauza ticket ya usafiri wa ndege kutoka dar es salaam kwenda london wingereza
Hii tiket nilishinda kutoka kampuni ya ndege ya klm kupitia page...
Habari
gani wakuu? Nina Gari aina ya OPA nayouza kwa milioni 6. Ni ya mwaka
2002, Haina tatizo lolote la kiufundi, Namba zake ni BEX na ina vibali
vyote. Pia mazungumzo yapo kutokana na...
Unafahamu kwamba unayo fursa ya kuanzisha biashara yakoambayo ina uwezo wa kutengeneza kipato kuliko kampuni nyingi unazozifahamu bilakugharamia mtaji wowote?
Fuatilia fursa hiyo hapa...
Jamani mwenye fremu au anafahamu mwenye fremu ambayo iko mwenge mpaka makumbusho anicheki nataka kufungua studio ya video production...ikiwa two in one itakuwa safi zaidi...nitafute kupitia 0713...
Ninauza Toyota Opa,ipo katika hali nzuri sana.Imeingizwa TZ may,2013,full AC,Air bag,Navigation system,CD/DVD player.haina tatizo lolote kama mpya vile,imetembea km 136000
Nyumba inauzwa Musoma Mjini: Eneo la Rwamlimi, barabara ya kuelekea kiwanda cha nguo (MUTEX):
Vyumba vitano ila kimoja kinachoo chake (Five rooms including Master)
Sebule ya Chakula (Dining...
Mwenye caravan Nina tenda ya watoto WA olympio nataka niwe namlipa kwa wiki 250,000/= lakini naomba iwe gari liwe automatic mi nipo Dar nipigie 0714064767
New indian restaurant opened at new safari hotel arusha.
Its a good restaurant with full of indian food that you can enjoy with your family and friends.
For more information call 0789 543 339
Gari hii itakuwa available from 27/November 2012 muuzaji anarudi kwao USA hivyo ameamua kuiuza mimi ni rafiki yake.
GARI LIPO DAR ES SALAAM inaruhusiwa kuja kuliona na kutest.
The Car Details...
Canon photo printer kwa ajili ya kuprint picture na passport size.
Ni nzuri kwa biashara ya passport size
Ina wifi printing
Yenyewe naiuza 240000,ni mpya kabisa
Ukitaka na paper sheets zake ninazo...
ni mashine gani nzuri (kwa maana ya utendaji kazi wake, matumizi ya umeme, uimara na kutoa kazi safi)ya kusaga mawe kupata kokoto, naweza pata wapi. kama unajua bei unaweza nipa dokezo ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.