Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Gari HONDA CRV mpya kwa Tanzania, imetolewa bandarini tarehe 27/12/2013, lakini used kule Japan ninauza. Picha zinaionyesha gari hiyo. Km ilizotembea 78000 Japan. Kwanini ninauza: Nimebadili nia...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ninahitaji mkopo wa kama milioni moja(1ml) tu halafu nirudishe kila mwezi kama laki moja(100,000) au tutakavyokubaliana. Ninafanya kazi na tutaandikishiana kupitia kampuni yangu au/na mwanasheria...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
ina vyumba 3 kimoja master.ina choo cha nje kimoja.ina jiko.luku ya peke yako.Maji kwa jirani.full tairs. Bei laki mbili na nusu. Mawasiliano.piga simu 0768811075.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
ESCUDO ya 1993, colour G Sababu ya kuiuza next month nitakuwa Mauritius for almost two years kwahiyo its better to sell it
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Nyumba ya kisasa ya Vyumba 3, dining, vyoo vya ndani, jiko, sebule inapangishwa Kigamboni magogoni km 3 kutoka ferry. Kodi ni sh. 300,000 kwa mwezi, miezi 6. Nyingine ni Nyumba ya Vyumba...
0 Reactions
0 Replies
788 Views
LCD HP flat Screen Monitor inch 17 VGA Cable+Power Cable free bei 100,000/=
0 Reactions
5 Replies
1K Views
2002 1240cc Ina 101,000km New tyres Polished dashboard Imetumika vizuri Still new Haina tatizo lolote 0716398757 Serious buyers
0 Reactions
16 Replies
2K Views
kwa wale wanaopenda drifting kaz kwenu,alteza hii ina gear7,speed 240. engine cc yake ni 1962, ni model ya mwaka 1999. serious buyers wanicheki kwa 0719
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Inaweek moja tangu niifungue kwenye box lake,inakubal line ya tigo pekee, Simu inakuja ikiwa full(+bettry+USB cable+charger+eaphone) Being 140000 contact :0655674747....nipo kinondon DSM Kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi ni muuzaji wa spea za magari na ni fundi wa magari, kwa sasa sina duka ila nafahamu sehemu nyingi ambazo zinauza spea aina tofauti za magari na nazijua aina nyingi za spea, hivyo...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Hello Ladies ..... Jipatie handbag Fashion (rangi za google) kwa bei rahisi sh 45 elf. Please pepesa macho angalia rangi inakufaa/ matchisha na pamba zako and you will be looking blistering...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau.. heshima mbele naomba kufahamu bei ya soko kwa ekari moja ya ardhi ambayo haijapimwa ina ina hati ya mauziano... Morogoro-Kingolwira, upande wa Manispaa na umbali wa Km 2 toka barabara kuu...
0 Reactions
0 Replies
740 Views
Mambo vp??? Ebwana simu tajwa hapo juu yahitajika urgently if unayo ni pm tufanye biashara..... Offer 300-400 depending na ipo katika hali gani
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tsht zasambazwa kwa kasi mtanzania kuwa makini usije kuuza kura yako kwa fulana yenye sura ya mtu
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habar kinsemavyo nahtaji toyota spacio ya 2002 or 2003 na kuendelea milege isizidi 100000
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwa mkazi wa Mwanza ninauza king'amuzi cha startimes kwa Tsh 50000 tu.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau nijuzeni kuhusu biashara ya electronic zanzibar iko aje na where to start... halafu mie nshazoea Dar full kula bata.. ila huku hata beer sijaona hata sehemu moja hata hotel niliopo ni maji...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
2003 1980cc 105000km Gari bado mpya Sport rims TV/Radio New tyres Haina tatizo lolote Bei 8mil Plate no. CDK 0716398757 Serious buyers only maana siku watu wa mizaa wamekua wengi.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimeitumia mizie minne tu! Ina portable cd/dvd writer ina uwezo wa kukaa na charge masaa 2:45hrs, ram/ processor 2gb... Hard disk 350gb na webcab... Tuwasiliane ahara kwa mwenye kuhitaji (0784...
0 Reactions
0 Replies
598 Views
Green Vision is offering security products for your premises ranging from electric fence, sensors, CCTV, Auto Gate, electric beam and many more at a good cost price and installation is done any...
0 Reactions
0 Replies
783 Views
Back
Top Bottom