Wakuu kwa mara nyingine tena! nilitamani niwape taarifa kuwa bado kuna mashamba mengi yanauzwa Arusha maeneo ya Mandela University (Kikwe & Nambala) bei zimepanda kidogo yaani 16 - 20m kwa EKARI...
Pata Ofa ya PuNgUzO la BEI ya KITABU.
Pata kitabu cha COMMUNICATION SKILLS FOR ALL LEVES kilichoandikwa na E.B. Mahelo kwa ghalama ya 6,000.00 tu badala ya 10,000.00 kama ilivyokuwa awali. Ofa...
POWERHOUSE PROVEN SUCCESS PLAN WITH GNLD PRODUCTS PIGA 0684210277 KWA MAELEEZO
MWEZIWA KWANZA
WEKEZATSHS TSHS 255,600/=
UTAPATA KIT, TRE EN EN 4, LDC4, MIXING BOTTLE 3...
Wakuu me naomba mnipe msaad je hz gas za kupikia kam oryx,mihan &lake gas ni gas gan ipo cheap kwa matumzi ya nyumban nkimaanisha gas na mtung wake wanahtaj kunua ful 15kg
Wana JF,
Kama kuna mtu analima strawberry, tafadhali naomba nikutembelee (hapa Dar), na kama una splits ninazoweza kupata. tafadhali niPM.
Natanguliza Shukrani zangu za Dhati
NAUZA SAMSUNG LAPTOP RAM 2GB, HDD 320, INA MIEZI 3 TU, INA GOSPEL SONGS ZPATAZO 6000, nakupa na begi lake bei 450,000 haya wakuu karibuni 0766988326, au kama una tecno phantom, au lumia 520,au...
Habari wakuu,
Mzigo wa desktop umewasili juzi kuna desktop nzuri na bei ni za kutupa, ni mzigo genuine toka USA. Zinaanzia laki mbili na kuendelea.
Tuwasiliane kwa 0655003510
Nakodisha magauni ya harusi, ukikodi gauni unapata na shela, gloves, na ile net ya ndani kwa Cinderela style. Bei kuanzia 150,000/= hadi 400,000/= karibuni
simu imetumika ila ipo katika hali nzuri kabisa ina rangi nyeusi. kwa wasioifahamu iphone 4 ina sifa hizi.
display
simu hii ina kioo kidogo cha inch 3.5 lakini ni moja kati ya vioo bora kabisa...
Je unapata tatizo la simu yako kuisha charge ukiwa mbali na nyumbani au mbali na chanzo cha umeme(sehemu ya kuchajia) na je umeme unakatika nyumbani kwako unakosa sehemu ya kuchajia simu.....BASI...
Habari wadau.
Nina pikipiki aina ya T-Better ina rangi nyeusi cc 125 nambari T850B..., naiuza kwa shs Laki Saba Cash, haipungui hata kidogo.
Sijawahi kuitumia kwa kazi ya Bodaboda, na iko fresh...
mimi ni msichana wa miaka 20 nipo chuo kimoja cha biashara mwaka wa kwanza hapa jijini dar.nina malengo na ndoto za kutaka kuanza kumiliki biashara zangu maeneo ya chuo,na moja ya biashara hizo ni...
Habarai wana-JF
Mimi ni kijana katika soma soma zangu nilikuwa na shauku kubwa ya kumliki website na blog ila nilianza kumliki blog (THANKXGODBLOG-OFFICIAL BLOG | Your Blog Description) tatizo...
kwa anayeitaji simu iyoo apo juu tanjwa anicheck,iphone 4s 64gb nyeus,picha zinasumbua ku upload wakuu beii n shs 420 ianongeleka kwa mawasiliano nicheck kwa no 0713239001 leo hii
Tunaomba umeme dodoma..kumekua na tatizo kubwa sana na huu mgao hapa dodoma jamani wahusika tusaidieni...mara mashine imeharibika mara spea wamefuata..tunanyanyasika jamani..tutaendelea lini?????
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.