Wana JF habari zenu,kiwanja kinauzwa kipo makongo juu karibu na kanisa katoliki pia karibu na barabara na kina ukubwa wa 23 kwa 25 . kwa ukubwa wake unaweza kujenga nyumba ya vyumba vitatu na...
Hello, ninashida na kioo cha simu husika, simu yangu ni mpya kimuonekano ila bahati mbaya imeangukia kioo, kama unacho pls tuongee,naomba ofa tafadhari. Nipo Dsm. 0688 65 8292
Je unahitaji nembo au logo itakayoweza kuwakilisha biashara yako mahali popote pale.Basi wasiliana nami ili uweze kupata logo iliyo simple na yenye uwezo wa kuwakilisha biashara yako mahali popote...
viwanja vinauzwa chamazi, kila kiwanja kina barabara, umeme upo jirani, maji pia yanapatikana kwa urahisi. Ukubwa ni ft 50 kwa 50 sawa na meter 15.24 kwa meter 15.24. Bei ni 7m. Vipo 6 ukitaka...
Wapendwa wana JF, Tumefungua workshop mpya maeneo ya Toangoma along Kigamboni Road ,NDANDA ALUMINIUM AND GLASS WORKS,pia tuna fanya Metal fabrication and electrical work.Ni muungano wa mafundi...
Nd wanaJF
natafuta m2 (artist) wa kuscetch image au sura yangu
Kuna wakati alikuwa pale Karume siju amehamia wapi!
Natamani kama nikimpata the best artist wa kuchora sura ya mtu na ikatokea...
This is a unique property exhibition ever happened in Tanzania. The event will feature top brands in the real estate (Property) sub sector, that include but not limited to: Real estate...
Wakuu ninauza simu za Nokia Lumia 800 in new condition complete na accessories zote (boxed) . Hixi simu ni kutoka UK bei 410000 kila moja nina rangi nyeusi , white na blue. Nambs yng 0714 674687...
Hey friends,
Niko hapa kuwajulisha kuwa naunlock simu za blackberry na iPhone na uweze kutumia mitandao yote.
Tuwasiliane kupitia namba yangu 0655-003510 au 0753196849
Asanteni na Karibuni.
Sent...
Habari wana JF.Kwa wale wanaohitaji mikopo midogo ya haraka inatolewa kuanzia 500,000 mpaka 3,000,000.
Dhamana ni muhimu.Kuanzia milioni moja dhamana ni gari.
Malipo ni kwa mwezi mmoja tu...
Ndugu zangu wapendwa,
Ninao unyenyekevu sana kumshukuru Mungu baba kwa ajili yenu, bila shaka wazima kabisa,
Naomba msaada, hivi gari ya Noah/voxy yenye CIF ($2700) to Dar port ni shilingi ngapi...
Natafuta NAS server at least ya 2 -bay, mpya.yenye features nzuri za kutosha. ukiweza kupata na hard disk at least ya 3TB itakuwa vizuri zaidi.
nicheki kwenye 0754484110.
NB: iwe ni brand...
Jipatie Oil ya SYNTHETIC,Oil ya kisasa kwa magari model za killeo
Oil hii itakupa km 15,000 za Mileage kab la ya kufanya service tena ukilinganisha na oil ziendazo kilomita 3,000
Utaokoa...
Habari zenu.?
Naomba kujua na kupata mawasiliano kwa kampuni yeyote inayojishughulisha na usafirishaji wa mizigo toka nchini Russia.
Ninahitaji kusafirisha mahema kama 5-10,pia na sleeping bags...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.