Heshima kwenu wakuu nauza simu yangu nokia asha 302,black colour ipo kwenye hali nzuri mwenye kuhitaji anicheki kwenye na 071406130,hapa nilipo ndipo naitumia so nashindwa kuweka link muweze...
Wakuu kuna kiwanja kinauzwa kigamboni Mwasonga. Ni Jirani na dsm zoo. Ukubwa wake ni nusu heka. Mchaga wa kujengea unapatikana hapo hapo kwenye kiwanja. Kaupepo ka baharini safi kanapatikana. Kina...
Ipo katika hali nzuri
Milleage 75000kms
Imported :june 2013
Bei: 12 mil (MAELEWANO YAPO)
Gari lipo Dar-es-salaam
Number- T *** C*K
Waweza kuja likagua muda wowote na fundi
Contact ...
Hallo Wana JF,
Natumaini kichwa cha habari kinajieleze vizuri.
Nnahitaji External HDD Mpya yenyr ukubwa wa 2TB
Brand name Ningependelea TOSHIBA/WD/SAMSUNG/TRANSCEND.
Mwenye nayo tafadhali...
Ndugu wanaJF kwa yeyote mwenye Laptop ambayo ameiweka tu Ndani haitumii ama kwakuwa ana zaidi ya moja au hata Desktop lkn iwe inafanya kazi vizuri(namaanisha uwezo) kwa kiasi cha 200,000/=tu
nakushukur mungu kwa kunipa afya njema, natumaini uko poa!!mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22. Nina mwaka sasa tangu niishi bila ajira yeyote na sina pesa ya kuweza kujiajiri naomba unisaidie...
habari! Mimi ni kijana umri wa miaka 21 nahitaji/napenda kujiunga na jeshi la nchi, yoyote mwenye moyo wa kunisaidia anisaidie, coz nilikosa nafasi mwezi wa kwanza 2014, mtaani sina ajira yoyote
Gx110 ipo sokoni rangi ni white pearl ipo katika hali nzuri engine 1980cc transmition ni automatic ipo katika hali nzuri haina tatizo lolote mwenye kuhitaji fika sinza mapambano utaiyona, bei ni...
Simu tajwa hapo juu ni used kwa miezi minne lakini bado ipo vizuri,internal memory 8Gb ni window 7,nimeshindwa ku-upload picha.kwa sifa zingine unaweza kuitafuta google
Wakuu. hebu nisaidieni. nina Mitsubish GDI nimenunua kama mwezi mmoja uliyopita.
I ordered the car from Japan Direct. Sijanunua lilochakachuliwa hapa Bongo!
shida yangu ni kwamba sometemes hii...
INAKUAJE WANA JF..!! Natafuta simu ya ukweli ambayo ipo kwenye hali nzuri.! Na iwe android.. Amount yangu ni 100,000/=.
Hyo ndo amound yangu....!
My number 0785673240
Samsung galax3 clone
gt 19300
Android version 4.1.9
internet 3g
space 16gb na ina memory card 2gb
betri zipo 2
bado mpya nabox lake maelewano yapo nime itangaza pia katika blog ya inauzwa.com...
Are you or your business located in Iringa,Mafinga,Makambako,Njombe or Mbeya?
If the answer to the question above is "Yes", you can contact me for IT support and consultation. We work as...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.