Natumai mu-wazima wadau.
Me nilikuwa nina shda ya kutaka kujua ubora wa passo na uwezo wake kutembea umbali mrefu because kwa sasa natumia premio lakini nataka kubadilisha gari.
Ahsanteni
Habari,
Natafuta eneo kwa ajili ya kufuga kuku, bata na kama itawezekana basi hata mbuzi au nguruwe.
Mimi naishi Dar.
Eneo liwe popote ndani ya Dar au Kisarawe, mapinga, kibaha, vikindu na...
Vipo boko vimepimwa tayari ukubwa miguu 28 kwa 20
bei sh milion tatu na nusu
viwanja vip goba na tegeta kupitia njia ya mbezi mwisho bei tofauti 20 kwa 20 kwa sh milion nne
heka moja...
Natafuta mafundi wa kutengeneza system za biogas kwa kutumia kinyesi cha ng'ombe.
Slurry pits (mashimo ya tope la ng'ombe yapo mawili: kila moja lina 300cm urefu na 250cm kipenyo).
Nahitaji gas...
Natafuta afisa mifugo aje kuanzia leo, awe anakuja kuangalia ng'ombe wangu na kutoa ushauri juu ya matunzo na matibabu.
Ng'ombe wapo Dar (Pugu-Viwege).
N.B:
(1)Awe tayari kuja site na kukaa...
Heshima wana JF,
Sisi ni vijana wenye taaluma mbalimbali za ufundi,tumeamua kuungana na kufungua workshop kwa ajili ya,ALUMINIUM AND GLASS,METAL FABRICATION,ELECTRICAL WORK AND CAR WASH,Tupo...
Natafuta dalali mwenye uzoefu na network upande wa kariakoo. Nahitaji duka/frem. Naomba kama wewe ni dalali au unaye dalali unayemfahamu mwenye kushughulika Kariakoo nipe contacts zake hapa...
Natanguliza salamu,
Mwanajf mwenzenu nimefungua duka la spares za magari.
Nadeal na Subaru,Toyota(altezza).
Napatikana k'koo mtaa wa swahili/rufiji.
Karibuni woooote!!
Nyumba inapangishwa dodoma Tanzania, ipo Area A, karibu na shule ya Chamwino.
Sifa za nyumba
Vyumba vinne vya kulala,
Sebule
jiko
store
Dinning
iko ndani ya fence na ina geti
ina uwanja wa kutosha...
Wakuu ninapangisha chumba na sebule maeneo ya Tungi Kigamboni kwa kodi ya sh. 60,000 kwa mwezi. Maji na umeme vipo na nyumba ni nzuri.
Mwenye kuhitaji apige: 0686 555726
Kwa mwenyeji wa Kilolo Iringa,naomba anisaidie aniembie eneo yaliyopohaya mashamba yajulikanayo kwa jina la Mtanga Farms,je yapo eneo gani hapo Kilolo,panaitwaje hapo yalipo na ni upande gani wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.