Viwanja na mashamba vinauzwa.
MAENEO: mkoa wa wa Pwani, unateremka Vikindu. Kwa kutokea Kongowe unaingia upande wa kushoto mpaka kijijini Kazole.
BEI: kiwanja cha nyumba mita 20 kwa 15...
samahani wakubwa ka yeyote aliyewahi kununua product yoyote E-BAY na akaipokea hapa bongo naomba anipe utaratibu kuhusu shipping method na wapi pa kupokelea na nama ya kulipia bidhaa
Nanunua simu kwa bei tajwa hapo juu, iwe smartphone ya android brand yoyote au nokia,kasi kwenye mambo ya internet bila kusahau WhatsApp,hata kama ni used lakini isiwe imechoka,zingatia kuwa...
Natafuta nyumba ya kupanga kuanzia chumba kimoja na subure na jiko na Choo hapa Mbeya jijini. Iwe panapofikika. Contact 0715696920 or inbox. Immediately
Habari za mihangaiko wakuu. Mimi ni kijana mwezenu nawakaribisha sana katika duka langu lililopo maeneo ya magomeni morocco (morroco hotel) nashughulika na kuuza spea za pikipiki, oil zote, kujaza...
habari wote,
From:Professional Pest Control Tanzania Limited
Napenda kuwafahamisha kwamba ,kampuni yetu inafanya shughuli za kupulizia wadudu/fumigation kwa wadudu wa kila aina ,majumbani na...
Habari wana JF.
Heshima kwenu wakuu. Nimehamia Arusha Toka juzi Ila nimekuwa nikilala Lodge Kutokana na kuwa nitakuwa nafanya kazi huku kwa muda wa miezi sita nahitaji chumba ili kupunguza gharama...
Habari wana jamvi , nauza ideos huawei bei 100,000/=(Negotiable) ipo poa na internet ni 3G, if you need it just pm me your number so that we can do buznes.
Nahitaji gari RAV4 ambalo liko vizuri kwa ajiri ya kukodi kwa mizunguko ya hapa mjini Dar es Salaam.Malipo ni kwa mwezi.Mwenye gari hilo anitafute in box ama kwa namba 0754 053496.Tuwasiliane.
mimi ni mwanamke wa miaka 24.natafuta kazi ya kuuza duka la nguo au vipodozi kwa yeyote mwenye kuhitaj,nikifanikiwa nitafanya kazi kwa moyo na uaminifu.nipo dar
Nyumba ya vyumba viwili vyoo viwili, inapangishwa kwa laki nne (400,000) kwa mwezi. Kuna ukuta so usalama ni mzuri tu. Jibu hapa kama uko unahitaji au nitumie pm. Ahsante!
Habari zenu wana jamvi!
Naitaji samsung galaxy S2 kwa 250000/= iwe katika hali nzuri bila tatizo lolote.Nipo dar kwa alie nayo ani pm tufanye biashara.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.