Viwanja vyenye meter 15.24 kwa meter 15.24 vinauzwa Chamazi, kila kiwanja kina angalia barabara, maji na umeme upo.
Bei ni 7m, ni vyangu mwenyewe sio dalali mawasiliano kwa atakayetaka...
Habari, ninakija wangu nataka ajifunze lugha ya kiiengereza kwa ufasaha, sasa nilisikia kupitia Cloud radio kuna mwalimu anaitwa simba, kama kuna mtu ana taarifa zake anijuze au kama kunasehem...
nyumba inauzwa survey inavyumba vitano na vyoo viwili na sebule moja. ina eneo lenye ukubwa wa sq m 160. ina maji na umeme. zinaingia gar nne vizuri. ina fence na ni mpya. bei ni mil. 130...
Wadau,
Nauza Simu aina ya HUAWEI Y210D (Dual Sim/Double Line), na ina wiki moja tu toka niifungue kwenye box lake.
Moja ya sifa zake ni kua unaweza ukaitumia kama Modem ya kawaida au "Wireless...
Wadau habari za wakati huu.
Nahitaji kununua mbwa lakini ningependelea awe kati ya moja wapo wa hizi breed
- Pit bull
- Rottweiler
- Presa Canario
Ntafurahi kama ntasaidiwa kujua mtu au kitengo...
iko katika hali nzuri sanaa...
ina muonekano mzuri sana..
CC 2000
six Cylinders
very comfortable car...kwa wale wanaozifahamu hizi ni mashahidi wangu..
Selling Price 4,500,000/=
Kama...
Habari wana jf,
Natafuta nyumba ya chumba kimoja na sebule kwa maeneo ya Mwenge, Makumbusho, mbezi mbezi ya tangbovu hata africana(tegeta) si mbaya.
Sifa:
1.Kiwe na choo ndani
2.Maji hapo hapo...
salam,gari yangu aina ya Toyota hiace long body ilipata ajali na body yake imechanika chanika,so naomba kama kuna mtu anafahamu ware house wanakoiza bodi anielekeze tafadhari asante
Wanajamvi, nina Samsung Galaxy S Duos, niliidondosha ikapasuka kioo, kwa hio touch screen haifanyi kazi tena.
Wapi naweza kubadili kioo cha simu hii kwa Dar?
Wana JF haswaa wadada but na wakaka pia,naomba maelekezo alipo fundi anayesifika jijini Dar es salaam mtaalamu wa kushona mishono ya vitenge ambae sio mswahili wa njoo kesho njoo kesho kutwa.
Habarini
Mimi ni mtunzi wa nyimbo mbalimbali ziwe za kitamaduni, kidini, kitaaluma au ziwe za kupigwa
kwenye hafla mbalimbali kama wewe unahitaji kutungiwa wimbo wowote kwenye sherehe,
au...
Kama nilivyosema hapo katika tittle hiyo ndiyo ofa yangu, simu iwe ni smartphone android( tecno m3, huawei y 300) na aina nyingine ila iwe ni version ya 4 na camera ya 5MP na kuendelea. kama ofa...
nipo lusaka kwenye tarehe 10 nitakuwa mbeya. walengwa hapo juu nina mashine 2 za kunyolea nywele moja orijino na hii nyingine ni zile za kawaida ila sifeki. nauza 70000 na 35000 anayetaka anijulishe
NEXT GENERATION ENT. CO LTD WALIOPO KATI YA MTAA WA LINDI/LIVINGSTONE, DAR-ES-SALAAM, TANZANIA
NI WAUZAJI WA PRINTER ZA KISASA ZAIDI AINA YA HP PHOTOSMART C6180, C7200
PRINTER HII INA UWEZO...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.