Habari za humu ndani nimejichanga nikaona sio mbaya kukusanya TV za mtumba na kuja kuziuza kwa wale wanaopendelea vitu vya mtumba.
Ninazo makampuni tofauti tofauti kuanzia Lg, PHILIPS, Hitachi na...
Hisense Smart TV 4k inch 75 bado mpya nyembamba imenyooka hizo picha tu ila ukiiona live ndo utakubali, imetumika miezii 3 inafaa kuoneshea mpira maana ni kubwa mwenyewe anashida na pesa haraka...
Umepanga kununua Tv na pesa ni kidogo? Usiteseke Infopreneur anauza Smart Tv used from UK Kwa bei poa sana. Jambo bora zaidi ni kwamba Tv zangu Zinakuja na warranty pia ni Original. All you have...
AINA YA TV: StarTimes
MODEL: Smart TV
UPANA: inch 55''
Resolution (Ubora wa picha): 4K
Bei: Milioni moja na laki moja (1,100,000/- TZS)
Mahali: Kimara, Dar es salaam
Kama unaihitaji TV hii...
Nauza tv star x inchi 43 kwa bei tajwa.Tv hii ni smart kama unavyoiona na ipo Tegeta Dsm.Ni tv yangu halali,nilinunua dukani, ina box na vitu vyake vyote.risit ninayo. Maongezi kidogo yapo.
Kwa...
Full package kwa Elf 70 tu TV panasonic nchi 19, Dek Sing Sung na Frash GB8 Og vinauzwa bei ya kutupa.
Vipo Mbeya Iyunga 0623935516 maongezi yapo kidogo!
KARIBUN WAKUU.
Wakuu heshima kwenu..Tunauza tV za aina zote kwa bei poa sana...tunapatikana Arusha town hapa...kwa mahitaji yeyote nicheki kwa 0765360814 watsup na call kawaida .Karibuni sana.
TV ya mtumba inchi 24 inauzwa.
*Button zake za kuwashia/kuongeza/kupunguza sauti ni za kugusa.
*HAINA REMOTE
*HAITUMII FLASH
*Bei: 150,000/- (maongezi yapo)
*Location: Kiwalani, Dar es salaam...
HOT DEAL[emoji91][emoji91][emoji91]
SIFA
-Hd picture (LED display) backlight technology
-king'amuzi Cha ndani(DVB-T2)
-2X ports za HDMI
-1 port ya USB
-option ya ku update firmware
-Full viewing...
BEI ZA OFA (PUNGUZO) TV KWA LEO
BOSS
32(single kioo).....285,000
49(smart vioo viwili)..850,000
39.......470,000
NATIONAL
32(vioo viwili)....300,000
MR UK
32(double)....300,000...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.