Habari. Rejea kichwa cha habari hapo juu. Nyumba ipo maeneo ya survey dakika mbili kwa mguu tokea mlimani city. Sifa za nyumba ni; nyumba ndogo yenye sebule na chumba kimoja choo chake pamoja na...
DO YOU WANT MORE THAN 100$ IN A WEEK?
DO YOU WANT TO BE A BOSS OF YOUR OWN?
DO YOU WANT TO PAY YOURSELF A SALARY OF YO CHOICE?
WITH TELEXFREE ALL OF THESE ARE POSSIBLE!!!!
FOR MORE INFORMATION...
Model GF-LN147 ya mwaka 2003
5L engine
cc 3000 Diesel
Manual Transimission
Single Cabin
Rangi nyeupe
Iliingizwa nchini mwishoni mwa mwaka 2008
Usajili wake ni AXN
Bado iko makini sana inatembea...
Kuna tv set ndogo mbili kila moja ina deki yake bei laki na ishirini kila moja,pamoja na friji kubwa milango miwili ina freezer juu na cooler kwa chini inauzwa laki tatu na nusu kama utahitaji...
Wana JF
Nauza shamba la kupanda miti.
Zipo hekari 100, wilaya ya Mufindi kijiji cha Ibwanzi.
Kila Hekari ni Tsh 120,000/=.
Msimu ndio huu changamkieni dili hili, ukinunua nyingi bei...
Mimi ni mfanyakazi wa kampun flan hapa Sinza-Lion, kwa hiyo natafuta chumba kimoja cha kuishi maeneo karibu na kazini kwangu. Kwa hiyo wapangishaji wa vyumba au yeyote atakayeweza kunifanikishia...
hellow wandugu! naomba kufahamishwa ubora wa hii gari kwa wale waliozitumia kwa mazingira ya kibongo bongo kabla sijaiagiza, mchango/ushauri wenu ni muhimu sana.
Wana board salam.nna order ya mawe ya aina mbalimbali,yakiwemo quartz,amerthysist,garnet,saphayer etc pamoja na copper ore.interested people wani pm mawe waliyonayo na bei.my collection point ni...
Gari mpya kabixa Toyota Will VS inauzwa kwa 12.5mil tu.
Mazungumzo yapo ila sio xana jaman.
Gari ndo imetoka bandarini tu leo, ni gari nzuri xana kwa safari za nje na ndan kwan haili mafuta xana...
Kiwanja kipo kihonda kwa chambo. Ukubwa ni sq mita 600, umbali toka main road ya Dodoma km 3, huduma ya maji na umeme ipo, kipo kwenye plan ya manispaa, bei maelewano. Nipigie: 0715500248
Habari! Kama unatafuta nyumba ya kupanga au vyumba au apartment za kawaida au zenye vitu vyote vya ndani, maeneo ya makumbusho, kijitonyama, mikocheni, msasani na mwananyamala
Wasiliana nami...
Habari wana JF. Nauza hp compaq presario. Nipo Kayanga, Karagwe. Ina webcam, 1 gb ram, 150 gb hdd, card reader, betr inakaa na chaji, processer@2.5 ghz, wndows 7. Bei 480 haishuki. Bado ni mpya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.