Habari zenu. natafuta keyboard ya toshiba satellite L505. kwa anayejua duka zinapopatikana na bei yake anisaidie. laptop ilianguka nataka nibadili keyboard.
Kwa wale ambao wako kwenye hatua za mwisho za ujenzi wa nyumba zao yaani finishing...
Sisi ni wauzaji wa aluminium aina zote,...na bei zetu zinakuwa kama ifuatavyo...
Kwa square metre moja ni...
Nauza mbao za mninga.
Size 2 x 6 na 1 x 8, zina urefu wa futi 7.
Kila moja 20,000/=.
Zimebaki pisi 50, wahi kabla mzigo haujaisha.
Nipo Mafinga. Kwa maelezo zaidi ni PM.
Salaam salaam wakuu.
Natumai mu wazima kabisa wote,well................kuna generators wakuu kwa anayehitaji ziko pcs 30 ni za Germany mpya kabisa hazina kelele aina ni Swiss Kraft 2.5Kva na...
Samahanini wajumbe ila ni sehem gani hapa Dar naweza pata mashati ya kiume kwa bei nzuri na yawe ya dukani,naomba msaada mana kuna sehem nimeenda na wamesema ni 30 kwenda juu mpaka nkakata tamaa...
kuna kiwanja kingine kinauzwa karibu na azam
complex.kiwanja kipo kwenye mtaa unaopitika na
gari hadi kiwanjani, huduma zote muhimu zipo
umeme ,maji, kiwanja kina ukubwa wa mita 20 kwa
20 kwa...
kuna kiwanja kingine kinauzwa karibu na azam
complex.kiwanja kipo kwenye mtaa unaopitika na
gari hadi kiwanjani, huduma zote muhimu zipo
umeme ,maji, kiwanja kina ukubwa wa mita 20 kwa
20 kwa...
HABARI......
Nauza :- sofa ya watu 2 kwa 250,000 (ipo katika hali nzuri na material mazuri)
kabati la milango 2 kwa 120,000 (lipo katika hali nzuri pia)
kitanda cha chuma...
ZTE Tablet inauzwa bei ni Tsh 450,000 (laki nne na nusu) imetumika mwezi mmoja tu na haina tatzo lolote...
KWA Maelezo zaidi call 0652 206863,napatikana dsm
isiwe ya uwizi
iwe orijino
iwe na uwezo wa kuchuka laini 2
iwe haijatumika sana au ipo kwenye hali nzuri,
pesa cash iliyopo ni sh elfu50, pesa inaweza kuwa adjusted.
napatikana Ubungo, Dar...
Nauza simu aina ya Samsung galaxy Core duos(Samsung Galaxy Core I8260 - User opinions and reviews ), ni mpya kabisa ina kama wiki moja tu na inapiga kazi vizuri. Bei Tsh.320,000.
Kama upo serious...
Do you need promotion materials to promote your business,organize we print on pens..either your company logo or anything.kindly download and see our varieties of options
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.