Nauza playstation 3,ukubwa gb 80 pamoja na boksi lake,na padi zake zote mbili pamoja na c.d mbili moja ya fifa nyngne ya.collection,
Bei:400,000. Pungufu tunaongea
Kwa yeyote atakayekuwa...
Salam Wakuu,
Ninanunua magari yaliyopata ajali na yale yaliyolipwa insurance baada ya kupata ajali.
Yawe katika mikoa ya Dar es salaam na Arusha.
Preference ni kwa gari aina za Toyota.
Eg...
Wana JF,
Kuna mradi wa viwanja ambayo ulikuwa initiated na mwajiri wangu na viwanja hivyo vipo Kiluvya. Kwa maelezo ya awali,sisi tuliyoomba viwanja hivyo ilikuwa mwajiri atulipie kisha awe...
Nipo Iringa, kwa anayeuza pikipiki iliyo2mika lakini iwe katika hali nzuri na iwe inafanya kazi.
Bajeti yangu ni Tsh 750,000/=
>> Kama tangazo linakuhusu ni PM.
>> Natanguliza shukrani.
Iwe na camera mbili yan ya mbele na ya nyuma na camera ya nyuma isipungu 5megapixel.
Iwe na 3G.
Na android os yake iwe inaweza kuwa upgradable mpaka 4.1.2 jell bean.
Isizidi sh laki mbili
Kwa...
Wadau wa jukwaa hili natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Ubungo, Changanyikeni, Makongo juu, Mwenge, Kijitonyama, Mabibo na Kimara.
Bajeti yangu inaanzia elfu 40 mpaka 50 kutegemea na ubora wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.