Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Nahitaji kufanya biashara ya kuuza nazi lakini bado sijafaham wapi naweza pata kununua mzoefu wa biashara hii anisaidie kabla sijala mtaji jamani.
0 Reactions
2 Replies
958 Views
IMESHUKA BEI TOYOTA VITZ Full A/C Cc 990 4 piston No mechanical problems imebadilishwa rangi Bei: mil 4.5 Simu- 0713096076 ipo kawe, Dar es salaam. Serious customers dont comment. Pls call asap
2 Reactions
3 Replies
1K Views
-Used vitz plate number B -Haina ac -Ipo ubungo Riverside -Bei milioni 3. -Contact 0712518770 mimi ndio mmiliki.
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Miche bora kabisa ya miti inauzwa. Bustani iko Rondo- mkoani Lindi mkabala na ofisi za TFS. Miti iliyopo ni :- 1. Tectona grandis (Mtiki- Misoji) 2. Eucalyptus grandis na Camaldulensis (Mkaritusi-...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Miche bora kabisa ya miti inauzwa. Bustani iko Rondo- mkoani Lindi mkabala na ofisi za TFS. Miti iliyopo ni :- 1. Tectona grandis (Mtiki- Misoji) 2. Eucalyptus grandis na Camaldulensis (Mkaritusi-...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Habar wakuu. Uwanja una upana mita 20urefu mita 25 Umeme Maji balabal vipo Bei Milion 8 Maongez yapo Uwanja hauna hati 0623935516 Karibun🙏🙏
1 Reactions
5 Replies
544 Views
Wadau habari za leo ! Nachukua nafasi hii kuwatangazia biashara ya dagaa wa maji chumvi kwa sampuli zao: 1. Dagaa nyama, 2. Dagaa wakavu/Lukumbu, 3. Lumbunga , na 4. Ng`onda pia wapo. -Mauzo ni...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau nauza hii server cabinet ikiwa na top mounted cooling system pamoja na Sisco switch and Firewall kwa Bei ya punguzo...Niletee laki tatu na nusu uchukue.... 350,000 Location mabibo external...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Nauza mlango wa Kioo (Aluminium) mahususi kwa kupachikwa kwenye fremu ya biasharaSize: Futi 7 kwa futi 7. Umetumika kwenye frame ya bucha kwa muda mfupi wa miezi 3 tu, bei ni TZS. 150,000 Tu...
0 Reactions
0 Replies
923 Views
Kama kichwa kinavyosema eneo linauzwa vigwaza barabara ya kwala linakaribia heka 1 bei mil 4 maelewano yapo pia nicheki kwa namba 0718003504
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Swift namba c Full ac Full documents kila kitu Bei/price-4.5 M
0 Reactions
0 Replies
284 Views
@matangazo_digital Ni watengenezaji wa Matangazo mbali ya video na sauti yanayo ielezea biashara yako kwa dakika moja tu. Tangaza kidijitali wafikie wateja wako mahali popote tanzania NB...
0 Reactions
2 Replies
697 Views
Natafuta gari ya kukodi kwa mizunguko ya hapo Dar kwa wiki moja wakati wa likizo. Napendelea mfumo manual. PM na kiasi chako cha gharama kwa siku.
0 Reactions
0 Replies
406 Views
Nashindwa kujua ni kampuni ipi naweza kupata jagi konki (original), naomba msaada wa mawazo tafadhali. Liwe automatic (maji yakichemka ufikia centigrade mia linajikata lenyewe), ila lisiwe...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Habarini wadau, Ningependa tujuzane juu ya bei ya mchele kwa bei ya jumla(bei ya mashineni) kutokea hapo ulipo. Mimi nikianza na hapa Morogoro ni Tsh: 600/=
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Tunatoa huduma ya fumigation na usafi maofisini, majumbani, Viwandani na maghala kwa ufanisi wa hali ya juu kabisa. Tunavitendea kazi vya kisasa vyenye ubora kabisa pamoja na wafanyakazi wenye...
2 Reactions
1 Replies
371 Views
Habari wakuu, kama una account ya Upwork au Fiverr ya zamani iliyowahi kununua bidhaa au huduma niko interested kukulipa unipe review kwenye account zangu. Kwa wale wa Upwork ntakulipa, halafu...
3 Reactions
16 Replies
973 Views
Back
Top Bottom