Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Compressor LITA 300 Inatumia Jenereta + PETROL Horse 6 750,000🔥🔥🔥 0688986066 MBEZI-MWISHO
0 Reactions
0 Replies
426 Views
Gari imenunuliwa Toyota km 0 now ina km 80 Engine 1kd Year 2010 Push to start Leather seats Automatic Transmission Registration plate number B Price mil 68,000,00 Location Dar es Salaam...
0 Reactions
7 Replies
792 Views
Mashamba yanapatikana kata ya mafizi, kijiji cha ving'andi na zipo zaidi ya hekari 300 zilizopimwa, Mashamba haya mazuri kwa kilimo na bei yake kwa kila hekari ni laki nne, 400,000/= Maji...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
INAUZWA IPO IRINGA HAIDAIWI HAINA TATIZO NUMBER D BEI 70,000,000/= MAWASILIANO: 0745 101 615 Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
0 Reactions
1 Replies
400 Views
Kwa wale wapenzi wa team hizi kubwa tumewetea taa za logo ya team . [emoji842]Zinatoa mwanga wa rangi 7 tofauti [emoji842]Zinatumia usb inayokuja nayo au unaweza weka battery za AA...
0 Reactions
0 Replies
348 Views
Habari wanajf,Kitanda cha 5 kwa 6 na godoro lake vinauzwa kwa tsh laki 4 tu (400,000/=). Vyote ni vipya kabisa na havijawai kutumia kwani alinunua mdogo wangu na kuviweka kwangu Sasa kuna PESA...
3 Reactions
4 Replies
614 Views
Kiwanja kinauzwa maeneo ya goloka-mbagala. Ukubwa wake ni ft 14/13. Bei yake ni shilingi milioni mbili. Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana na mwenye kiwanja(si dalali) kupitia namba 0713769416.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wanajukwaa, Naomba kufahamishwa ninapoweza kupata hii mashine ya kupandia mbegu kama alizeti, ufuta, mahindi nk. Seed Planter Video Eneo nilipo ni Dar es salaam. Ni vyema zaidi...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Ndugu zangu nimekuja kwa niaba ya ndugu yangu. Ndugu yangu(rafiki wa dhati kabisa) kakwama, kanikuta nduguye niko dhohoful hali kiuchumi. Tatizo hili ni kama langu, mnisaidie ndugu yenu. Tunauza...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
KARIBU KUNUNUA VITU MBALI MBALI KWA BEI NAFUU...[emoji593]AL AUTO PARTS ! Please let us know how we can help you.Ofisi zetu zipo Dar es salaam, kariakoo NA TABATA MUSLIMFree Delivery within...
1 Reactions
1 Replies
464 Views
Tunatengeneza mashine za kusaga pamoja na kukuboa mahindi, pia mashine za chakula Cha kuku, mixer za udongo pamoja na mashine za kufyatulia matofali, nk, karbuni sana wateja wetu tunapatikana...
0 Reactions
0 Replies
995 Views
Mwenye nayo krb. Npo Geita, Walio jiran watapat kipaumbele.
0 Reactions
4 Replies
557 Views
Habari, Nakaribia kufungua kampuni ya kutoa ya courier services (delivery), na nimeona gharama za kununua vyombo vya moto kama pikipiki, Tricycles ni kubwa na nikaona ni rahisi kama naweza...
0 Reactions
3 Replies
816 Views
SOLD OUT[emoji845]
0 Reactions
2 Replies
404 Views
Chuo Kikuu cha Ushirika cha Moshi (MoCU) kilipitishwa rasmi tarehe 3 Julai 2014 na Tume ya Vyuo vikuu vya Tanzania katika mkutano wake wa 64 na kutoa idhini ya kubadilisha / kuboresha Chuo Kikuu...
4 Reactions
50 Replies
15K Views
64 gb rom 4 gb ram double line(duos) 4g 3000 mAh battery clean no crack 260k 0624008133 Dodoma
1 Reactions
5 Replies
564 Views
Brand new Amazon Kindle inauzwa, (full boxed) ni nzuri sana kwa wapenzi wa kusoma vitabu online au wanafunzi wa chuo, itakuepusha kutembea na mavitabu au Kila siku kwenda library kufuata vitabu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tunauza matrekta aina ya Lovol
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Habar wadau wa elimu. Kuna jambo hapa naomba ushirikiano wako. Hii ni kwa zile shule za sekondari sasa kuna maabara zile za masomo ya physics, chemistry na biology. Sasa kwenye hizi maabara...
0 Reactions
1 Replies
402 Views
Back
Top Bottom