Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Wana jamvi, aliye somea COMMUNITY DEVELOPMENT (Maendeleo ya Jamii), HUMAN RESOURCES MANAGEMENT, mnakaribishwa kuomba Internship kwa wale mnaotaka kujifunza kazi hapa ndio pahala penu. Internship...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Nianze kwa kushukuru wadau humu JF kwa mchango wao wa mawazo hadi makala hii kukamilika. Kwanza kabisa kabla hujafikiria kupunguza gharama za ujenzi unatakiwa kufahamu gharama halisi za ujenzi...
2 Reactions
12 Replies
5K Views
Habari za wakati huu wana JF Nitangulize shukrani zangu kwenu wana JF Tunapatikana Mwanza Mjini kazi tunazofanya uchapishaji wa MaT,shirt mabango aina zote vikombe sahani na Graphic miyanvuli I'd...
0 Reactions
0 Replies
720 Views
Habari zenu wadau, mbwa anauzwa sh 350,000 . Nipo mikocheni dar es salaam . Kwa anae hitaji Karibu pm kwa maelezo zaidi
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Tarehe 13 October 2022 nitakuwa na send off ya bint yangu. Mwenye gari la kukodisha aina hizo hapo juu na liwe rangi nyeusi tuwasiliane. Root itakuwa kutoa ukumbini (Baracuda Hall) Tabata Baracuda...
0 Reactions
8 Replies
941 Views
Nahitaji kununua gari aina tajwa hapo juu. Kama una aina yoyote kati ya hayo please pm. Budget 7m na naomba uwe mwenye gari na sio middle man.
0 Reactions
2 Replies
635 Views
TANGAZO: Shule huria ya Kijiji cha Nyuki Singida inakutangazia mafunzo ya mwezi ya kuanzisha na kusimamia manzuki, kuvuna na kuchakata, na masoko ya mazao na huduma za nyuki za nyuki yatakayoanza...
1 Reactions
3 Replies
939 Views
Habari wadau. Bajaji iyo inauzwa wakuu, Full vibal, tair mpya . Ruhusa kuja na fund kukagua mzigo huo, ml 4.300,000/= 0789 820122 Dar es salaam
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari wadau, naomba kwa yoyote mwenye koneksheni ya frame ya biashara tuwasiliane. Mahitaji: Iwe maeneo ya kuanzia Mkuyuni hadi Buhongwa. Iwe maeneo yenye mzunguko mkubwa wa watu. Bei isiyozidi...
1 Reactions
0 Replies
445 Views
5 litres kettle 0788622610 50,000Tsh
0 Reactions
0 Replies
329 Views
Habari, Mimi ni Johnson Yesaya Mgelwa, mkurugenzi mtendaji Ishai Real Estate. Ishai Real Estate ni moja ya biashara chini ya kampuni inayoitwa Ishai Company Limited. Ishai Real Estate, ni...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana jamii forum nahitaji Nahitaji cpa,tea na penal code vya kiswahili vinapatikana wapi Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauza laptop hp 820g Core i5 HDD 500gb Ram 4gb Procesor 2.5 Batani mbili za chini hizo kwenye mouse now hazifanyi kazi Bei 300000 0689719676
0 Reactions
4 Replies
739 Views
Za mchana wana JF, Kichwa cha habari kinajieleza. Bugget yangu ni 30mil. iwe ya namba E. Call 0759888018 for more details
2 Reactions
6 Replies
477 Views
Kwema wakuu, Nafanya sole distribution ya bidhaa zifuatazo kwenu wenye maduka ya bidhaa muhimu ama FMCG na hata Pharmacy. 1.Sabuni za Ariel size zote (35gm, 500gm,1kg, 1.5kg. 3.5kg) 2.Always...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Hello, nauza simu yangu google pixel 3a nimenunua mwezi uliopita 300000. Tarehe Moja/8 napata simu nyingine naiuza hii 200000. Unaweza lipa Kwa awamu 2. Nipo, Dar es salaam. WhatsApp 0689727165
2 Reactions
11 Replies
928 Views
Naomba kujua bei za frem na chumba kwa morogoro, na maeneo yote ya moro,sehemu palipo chagamka. Sehemu ambapo unaweza kufanya bishara ya library ya movies,biashara ya nguo,gesi,n.k Natanguliza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu habari za mida, naomba udadavuzi wa hiyo pikipiki ikiwa mpya kabisa kuanzia bei ya dukani, usajili, bima n.k namaanisha kuanzia ununuzi wa hiyo pikpiki mpaka itakapoingia barabarani...
1 Reactions
23 Replies
39K Views
Tarehe 13 October 2022 nina send off ya bint yangu, nahitaji huduma ya min bus kama vile toyota coaster, Nissan civilian nk. Root itakuwa kutoka nyumbani Tabata kwa Swai saa 11.30 jioni kwenda...
0 Reactions
0 Replies
377 Views
Karne hii kumekuwa na watu wengi wanao shauri kuwa na tovuti/website kwa ajili ya kampuni au biashara. Sa nyingine wamekuwa wakitangaza ivo, kwa ajili ya manufaa yao binafsi. Ikiwemo kujipatia...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom