Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Mabati imara kabisa ya kisasa polaris* Warrant miaka 10 Delivery popote tanzania Unafikishiwa popote pale ulipo Tanzania Bati kutoka moja kwa moja kiwandani Bei za viwandani kabisa m...
0 Reactions
4 Replies
638 Views
Dhamana ni shamba/nyumba Marejesho ndani ya miezi 2 Riba sisizi 20% Nipo kibaha Contact 0678804442
1 Reactions
0 Replies
102 Views
Nauza Pc Asus Zen AIO Z240 Intel Core i7 6Gen 16Gb Ram 24 Display size Touch imepasuka ila nimei disconnect haina madhara SSD nimetoa unaweza kuweka mwenyewe ina NVYDIA GRAPHIC GTX950 BEI 250K...
0 Reactions
1 Replies
109 Views
Samia Infrastructure Bond ni fursa ya uwekezaji kwa ajili ya kukuza kasi ya miradi ya uwekezaji nchini. Kiwango cha chini cha uwekezaji ni shilingi laki tano (500,000/) ambapo utavuna riba ya...
6 Reactions
30 Replies
1K Views
Ney Ubuyu wa Kishua Unaanzaje kupitwa na kiburudisho hichi kizuri Ubuyu mzuri wenye ladha ya Vanilla, Chocolate na Pilipili Jumla na Rejareja unapata Kisado 20,000 Ndoo ndogo 40,000 Ndoo...
0 Reactions
6 Replies
137 Views
Bwana Yesu Kristo asifiwe. Mungu azidi kuwabariki nyote ambao mmependwa na BWANA kwa kuwazidishia afya njema na pumzi yake ya bure. Kabla sijaleta maono haya naomba niseme mimi siyo mwanasiasa...
3 Reactions
14 Replies
385 Views
Kwema wadau? Nahitaji supplier wa tende aina ya saad 10Kg zile za kupima mwenyewe na Maghadi zile za 1/2Kg. Msaada please.
1 Reactions
2 Replies
165 Views
Wakazi wa Kigamboni siku ya Jumapili waliweza kufurahia ladha za vyakula mbalimbali vya asili kupitia kampeni ya ‘Coca-Cola Kitaa Food Fest’ ambayo iliyofanyika Geza Ulole wilaya ya Kigamboni...
2 Reactions
6 Replies
273 Views
Hiki ni kitabu kinachohusu Historia ya Tanzania: Siasa, Uongozi na Utawala. Hiki sio kitabu cha kukosa, kina madini ya kutosha. Kwa watakaohitaji wawasiliane na mwandishi kwa namba 0686396946 na...
0 Reactions
0 Replies
93 Views
Wadau Salaam. Shida yangu natafuta mdau mwenye ujuzi wa kuchimba almasi nitafute inbox WhatsApp
1 Reactions
6 Replies
377 Views
Anaye hitaji ajira ya kufundisha English medium school akuje inbox
1 Reactions
5 Replies
201 Views
Natafuta chumba master sebule na jiko maeneo ya mbagala, tandika au temeke
0 Reactions
2 Replies
171 Views
YOM: 2007 Engine type: QR20 Capacity: 1990cc Automatic Petrol 93000 Kms Imported from Japan Haijarudiwa Rangi popote . Price: TZS. 14.8m . Call: 0717 650800
0 Reactions
5 Replies
348 Views
• Direction: near Segerea Road • Structure: no structure inside • Facilities: fenced • Ideal: residential • Plot Area: Sqm 1077 • Document: title deed • Price: TZS 65 million (fixed) • Site...
0 Reactions
1 Replies
145 Views
1. Fifa 24 (FC 24) - PS5 => 45,000 tshs 2. The Last of Us Part II - PS4 => 49,000 tshs 3. Far Cry 6 - PS5 => 49,000 tshs 4. Assassin's Creed Valhalla - PS5 => 49,000 tshs 5. Fifa 23 - PS5 =>...
2 Reactions
4 Replies
144 Views
Ni kitabu chenye page 50 chenye mkusanyiko wa jumla ya Hadithi 16.Ambazo zinaweza kusomwa na watu wazima na Watoto.Hadithi zenye lengo la Kuburudisha,kuonya,kukosoa na kurekebisha tabia. Kitabu...
5 Reactions
8 Replies
154 Views
Anaandika Kelvin kibenje Wengi mmeuliza kuhusu #vijora na Madera na magauni ya batiki. utayapata Mtaa wa nyamwezi na narungombe lango la kuingilia shimoni jengo la baserona. Namba vijora +255 715...
29 Reactions
99 Replies
19K Views
Nauza caustic soda flakes (99.5%), kwa yeyote mwenye mahitaji anicheki kupitia namba 0675703608, napatikana Dar Es Salaam. Kampuni SolartesMega Company Limited, mzigo tunao wa kutosha! Nauza kwa...
0 Reactions
5 Replies
774 Views
Koti Ya namna hii naweza ipata wadi!? na Gharama yake.. Inaweza nisaidia kwenda kusoma Harvard University Nikizaliwa🚼
2 Reactions
19 Replies
717 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…