...jaman naomba mwenye uwezo wa kunîsaidia kupata fremu eneo la mafinga anipe support plz.... Fremu ikipatikana barabara ya kuingia stand, mbele au nyuma ya c.c.m nitafurahi sana, watu wa mafinga...
Toyota Verossa Ya Mwaka 2001
Price: TSH 11,000,000 - (11M)
Kilometers: 87000
Four Wheel Drive
Transmission: Automatic
Simu: 0689341445
Mahali Lilipo: Dar Es Salaam-
Gari iko kwenye hali...
Kwa anayehitaji sofa, yapo mawili moja ya watu wawili moja ya mtu mmoja. Rangi damu ya mzee kitambaa kigumu sponge safi. Imetumika miezi 6 tu.bei maelewano. Nipo dar. For serios buyers only ni pm.
Waungwana
Sijui kama hapa ni mahala pake, lakini namtafuta mtu ambaye ni mtaalam wa nishati ya umeme jua, haswa mtu ambaye ni mhandisi, au kijana yeyote yule aliyesomea, kwa mfano, pale VETA...
Shule inauzwa ukubwa wa eneo ni sq 8030, kuna madarasa 7, jengo la utawala, vyoo, pia ndani ya eneo kuna mnara wa Airtel. Eneo lipo barabara inayotoka Tegeta kibaoni kupitia wazo kwenda Mbezi ya...
hallow jamii forums,
As the heading say i am selling harrier model year: 2002. the car is in a very good condition. It have been imported in the country 12 December 2012 and all the duties have...
Mimi ni kijana umri wangu ni miaka 32 na nimeajiriwa. Elimu yangu ni ya chuo kikuu, natafuta msichana mwenye sifa zifuatazo ili tuwe marafiki na ikifaa kama wote tutaridhia tunaweza kuwa wachumba...
ndugu husika na mada tajwa
Kiwanja chenye viwanja viwili ndani yake medium density kila kimoja kinauzwa.
kipo eneo la buhongwa mjini,kilomita moja kutoka buhongwa stand.
Gharama ni million 20...
ANYSEE is an International Company registered in Hong Kong in the year 2000. It is a worldwide company with branches in Russia, Malaysia, Indonesia, China and Hong Kong being the Head office...
Wakuu nauza Samsung Galaxy II. imetumika kwa miezi saba. Bei Tshs 600,000
Pia laptop PROLINE inauzwa. imetumika miezi sita bei Tshs. 500,000
Spec zake: Windows 7 Ultimate
Processor: Intel (R)...
wenye kuhitaji gari nauza carina ti number ni bhn ina km 174000 kwa aliyoko tayari waweza wasiliana na kufanya biashara
Bei ni milioni saba na nusu.....0756019969 tuwasiliane kwa number hyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.