Wadau
Nahitaji kununua gari yenye fuel consumption ndogo but durable ktk kuangalia details nimefikia Carina Ti 1500cc & Nissan Wingroad 1500cc. Mwenye details anijuze
Habarini wanajamvi jamani napendA kuwajulisha kuwa bidhaa pendwa iliyotajwa hapo juu ,ni genuine au original kabisa na vizito kutoka Congo mali ndo imeshuka,vinauzwa Tsh 40000 kwa doti yenye piece...
Jaman chakula cha mifugo hasa nguruwe au ngombe kinauzwa kwa bei chee kabisa.chakula hiki ni special kwani kina mchanganyiko wa vitu vifuatavyo:
1.pumba
2.ngano
3.unga wa mahindi
4.mahindi...
Wakuu heshima kwenu.
Kwa wale wajasilia mali na wale wanaotaraji kuwa wajasilia mali, nina agent till ya M-pesa ninaiuza.
Sababu ya kuiuza ni baada ya kuletewa nyingine nikiwa tayari...
Kuna nyumba ya kupanga Mbezi beach-makonde, jirani na mbezi garden hotel. Ina vyumba vitatu vya kulala na kimoja ni master, jiko na sebule. Ni nzuri sana . Anayetaka ani PM nimpe namba ya mwenye...
Nimekuwa nikipokea simu kutoka kwa watu wanaotaka nunua vitu mbali mbali kama smartphones na tableti, wakiomba ushauri toka kwangu...na wengine hata wakitaka kununua wakidhani nina duka. Mimi ni...
Car for sale with lowest price ever
Brand : Daihatsu Terrios Kid
year : 1999
mileage : 123850
location : Arusha
valid road licence
with comprehensive Insurance upto November
Price...
Nina duka la vifaa vya umeme na ujenzi- kiasi. thamani yake ni minimum ya mil 2.5
Nimefanya biashara kwa almost 3 complete months--- kama mtu atahitaji mauzo yalivyokuwa nitamuonyesha.
Nilimuweka...
DISPLAY..11.6-inch (diagonal) high-resolution LED-
STORAGE..
Configurable to 256GB or 512GB
PROCESSOR..1.7GHz dual-core Intel Core i5 (Turbo Boost up to 2.6GHz) with 3MB shared L3 cache...
Nina laki na elfu 30(130000),nahtaji simu tajwa hapo juu ikiwa mpya kabsa,na vifaa vyake vya kwenye box(charger,usb,earfone,sd card)..
Npo Dar-es-salaam..
iunge kwenye semina ya Matumizi thabiti ya mitandao jamii kwa biashara! on May 11, 2013 2:00 PM EAT kwa kutembelea linki https://attendee.gotowebinar.com/register/6258498600733542144. Kumbuka...
TANGAZO: Mtaalam wa UCHORAJI RAMANI za majumba na usimamizi. Ni mtaalam aliyesomea katika karne hii ya sayansi na teknolojia kwa uchoraji wa/na vipimo kwanzia kwenye kiwanja, aina ya nyumba na...
Hello guys gari Honda CRV 2008 Model (LEX Model,4WD automatic activation,) inauzwa. Gari nilinunua New with 0 KM. Now iko na KM 68,000. Iko na great Condition,haina any problem (if ur interested u...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.