Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Eneo ekari nane linauzwa milioni 25 kwa eka; lipo mita 200 toka usawa wa bahari na linapakana na kaole sekondari. Linafaa kwa ujenzi wa hoteli, apartments, au campsite kwa ajili ya utalii...
0 Reactions
0 Replies
790 Views
Kutakuwa na mkutano mkubwa wa biashara(BUSINESS FORUM) siku ya jumapili ya tarehe 5 may Peacock Hotel,Millenium Towers Kijitonyama ambao utahusisha wafanyabiashara mbalimbali wa ndani ya nchi...
0 Reactions
1 Replies
963 Views
Wakuu, Kwa aliye mwenyeji wa lake zone, natafuta shamba eneo la Sengerema (highway ya Mwanza-Sengerema) Yaani liwe ni jirani ya Kigongo ferry au hata vijiji vya jirani yake, likiwa kwenye ukingo...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Hello wana jf mwenye kuitaji sambusa za sherehe yoyote napika bei shilling mia tatu moja karibuni,anayehitaji aniPm,niko mwanza wanajf.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
NIPE OFFER YAKO.....
0 Reactions
4 Replies
653 Views
Samsung mini laptop(BRAND NEW) Intel atom inside, Processor 1.6GHZ,RAM 1GB.,HDD 300,WEBCAM,WI-FI,2 USB PORT Price;420,000 HP mini 200(BRAND NEW) Intel atom inside,processor 1.6GHZ,RAM 2GB,HDD...
0 Reactions
0 Replies
691 Views
Main Specifications! Hard Hisk ni 500GB, RAM 3GB, Processor Core3, ina Webcam. Rangi nyeusi. ni Tsh. 650,000/- tu... 0767500908, Call me now!
0 Reactions
15 Replies
1K Views
HTC Model: HTC wildfire A3333 Android version 2.2.1 Camera: 5MP with autofocus LED flash Internal memory 153MB Speed: 1GHz Ram: 512MB mint used Comes with charger, earphones & usb cable. for only...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
EDMARK INTERNATIONAL HEALTH PRODUCTS Insomnia (Kukosa usingizi) - Shakeoff, Splina & Redyeast Fibroids (uvimbe tumboni)...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari, Kwa pesa hiyo, nahitaji tv mpya ama used lakini iwe haina matatizo na inafanya kazi, mhimu iwe ina USB port, aina yeyote LCD ama LED. Nipo Dar
0 Reactions
6 Replies
2K Views
ambaye anayo ani pm fasta na bei
0 Reactions
3 Replies
805 Views
habari wandugu natanguliza shukurani nyingi kwa members wa forums kwani kupitia jukwaa hili nimefanikiwa kupata mambo mengi pili natafuta spare part za ford focus kwa mwenye taarifa zinapo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
In vyumba vinne vya kulala kimojawapo kikiwa ''master bedroom'', sebure kubwa, dinning, jiko na store. Imezungushiwa na uzio. Kodi sh 400,000 kwa mwezi. Ukitaka kuiona nipigie hii namba tupange...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari wadau.. Natumai wengi wenu mpo salama Leo nawaletea ipad 2 kwa laki 6 tuu.. In excellent condition.. Please call me 0712 507060 Nipo dar..asante
0 Reactions
1 Replies
824 Views
habari wandugu nahitaji spare za ford focus naomba mnijuze ni wapi zaweza kuzipata mimi nipo dar es salaam au kama kuna ajent wake au wataalam wa hizi gari
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kama una fahamu madini kama vile 1.aqumalin aina yote 2.tomalini rangio za haina zote 3.zl con 4.rose and red garment 5.amasisti na na mengine mendi wana jamii forum lete order una...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
WAKUU HABARI ZENU KUNA MDOGO WANGU KAZICHANGA CHANGA ANATAKA KUCHUKUA NDINGA SALOON SASA ALIKUWA ANAULIZA ACHUKUE NDINGA GANI NZURI YENYE comfortability NDANI YAKE YA KUANZIA WALAU MWAKA 2001...
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Nahitaji mtaalamu wa IT.
0 Reactions
0 Replies
843 Views
Nina PML ya dhahabu huko Kilindi mkoa wa Tanga,kinacho hitajika ni equipments kwaajili ya uzalishaji Call 0655 070733
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Huawei ASCEND Y200, second hand imetumika kwa mwezi mmoja tu, iko unlocked, rooted na imekuwa customized ROM yake to ICS.......atayehiyaji anichek kwenye 0712 780006, kwa bei ya Tshs. 180,000/= tu.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom