Nyumba inapangishwa ipo Gogoni Kiluvya B. Ni studio apartment, kila nyumba ina chumba kimoja cha kulala, sebule na choo. Inafaa kwa "just married couples". Zipo apartment nne. Mwenye kuhitaji...
Nyumba ya vyumba viwili,Kimoja master Sebule jiko na choo cha nje. Ipo ndani ya Geti
Shiling laki mbili na hamsini 2500000. Unalipa kwa miezi 9
Piga 0682699999.
Wahi kabla haijaingia mikononi...
Chumba kimoja, kiwe self...seating room ( si lazima iwe kubwa sana...am a bachelor)...kitchen itakuwa added advantage..iwe sehemu ya karibu na usafiri, hasa wa kwenda posta..eneo la...
habari wadau!!!
napenda kuwataarifu wadau wapenda maendeleo wote kuwa mimi na wenzangu(tupo7 sasa) tupo kwenye NGO iitwayo vision saccos. Sisi tupo morogoro vijijini-Dutumi village na tumepata...
Nauza equalizer sensor,ambayo inasense mziki ndani ya gari na kuudisplay nyuma kioo cha gari
Bei yake ni 180000
Atakayekuwa interested anicheki kwa namba. 0717312314
Wana jamvi heshima!
Kuna hii kitu inaitwa soya cake ni waste product ya soya ikishakamuliwa. Kama kuna mdau anaweza kupata hii kitu tuwasiliane. capacity kuanzia tani kumi. KARIBUNI.
MAFUTA YA UBUYU
(BAOBAB SEED OIL)
Ni mafuta yatokanayo na mbegu ya ubuyu {au kokwa}. Hukamuliwa kiini chake na kutoa mafuta. Utafiti huu umefanywa na Kampuni ya Essential Oil ya Afrika kusini...
Tafadhali wadau kwa usumbufu, Keyboard ya laptop yangu ilipata hitilafu nikajaribu kutafuta Uganda na Kenya nimekosa . Nimefanikiwa kuipata online ila kuinunua imekuwa taabu kutokana na masharti...
Habari ndugu, kwa wale wanaotaka kwenda kusoma India katika level za diploma, degree na hata master napenda kiwajuilisha kuwa nafanyia Admission bureeee kabisa bila ya charges zozote. Kama...
kwa taasisi, mashirika, kampuni au watu binafsi walio maeneo ambayo hayawezi kupata huduma kupitia DSL na wireless Internet providers, sasa tunatoa huduma ya Internet kupitia satellite na hivyo...
Heshima mbele wakuu, wiki iliyo pita nilianzisha uzi kuhusu huduma bora kabisa ya masaji inayo tolewa na watu wanaitwa DAR EXCELLENT PARLOUR. Nimepokea pm nyingi sana za...
kama ilivyo hapo juu natafuta kiwanja moshi mjini eneo la shant town kwanzia robo tatu hadi heka yani chap wandugu verify with price sitegemei mtu aulizw una sh ngapi? wala maswali ya kizushi oh...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.