Wadau,
Kiwanja kinauzwa kiko Makongo Juu, hakijapimwa.
Kiwanja kina ukubwa wa 60m x 20m = 1,200-Sqm.
Kiko umbali wa 7.0-Kilometa kutoka "Keep-left" cha Mlimani City.
Bei ni Tshs 36Mil (TZS...
Habari wana jf
Kwa wale wenye matatizo ya uzazi (kutopata mtoto) kama ulishawahi kupata mtoto mmoja na inashindikana kupata wa pili pia kwa wale ambao wanashindwa kupata ujauzito kama matokeo...
Rafiki yangu ana kiasi cha Tsh 24 million anahitaji gari aina ya RAV4( kama anaweza pata new model itakuwa nzuri zaidi); kwa show room za DSM ni eneo gani anaweza kupata gari zuri aina...
Wana JF ninawatangazia kuna huduma inakuja ya kusafisha tiles kwa ujumla iwe ofisini ,majumbani .nina mashine maalum ya kusafisha tiles na kwenye yale maungio hasa ndio yanachafuka sana .pia km...
Kiwanja kipo njiro arusha eneo la kwa masista block J kinaukubwa wa 15 kwa 25 na kina hati miliki (title deed), na udongo wa ardhi hiyo ni mwekundu. Bei ni shilingi miliono thelathini...
Rafiki yangu ana kiasi cha Tsh 24 million anahitaji gari aina ya RAV4( new model); kwa show room za DSM ni eneo gani anaweza kupata gari zuri aina iliyotajwa au kwa anayejua aina nzuri ya gari...
used laptop HP ProBook 6440b core i5, 3gb ram, 320gb hdd, for sale 380,000/- haipungui chini ya hapo inakaa na charge
napatikana lego sinza!!!
call 0714448864
NATAFUTA YA i5 IWE NA WEB CAMERA, FINGER PRINT SENSOR, VINGINE UTANIELEZA UKINIPIGIA BUT IWE KWENYE GUD CONDITION SIO UMETUMIA ZAIDI YA MWAKA MMOJA NA NUSU. CALL ME 0714-40-40-57. 0755-03-39-97.
wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza, alimradi isipungue 14" na isizid 20" , inawezekaana ipo uvunguni na wala huna shida nayo, na si ajabu labda unatafauta hata mtu wa kumgawia bure...
Kipyaa ndo kimepimwa, kina hati, block la kwanza kabisa ukitoka kigamboni ferry, price 30m, ukubwa 1500sq.m karibuni mnaotaka kukaa jirani na Bush, yaani ni kiwanja cha tatu kutoka eneo la New...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.