naza sony xperia miro ni mpya kabis ina siku 1 toka nimeletewa kutoka india kwa maana ya jana tarehe 24/04/2013
bei yake mpya nipound 170 ambayo ukiconvert ni kama 430,000 ya kibongo...
Kama unahitaji display za laptop size zote (10.1," 14.0", 14.1", 15.6" etc) aina zote (LCD,Ultraslim na LED) Adapter za laptop aina zote na betri zake na spea nyingine za laptop, Nitafute kwa...
Hallo. Nnahitaji Router aina hiyo hapo Juu. Unlocked.
Mwenye nayo anijuze tafadhali. Au kama unajua sehem zinauzwa kwa hapa kwetu Bongo naomba Unijulishe ni duka gani/wapi tafadhali.
Asante...
Wakuu natanguliza salaam.
Naomba mwenye simu hiyo hapo juu kama ni mpya au used si zaidi ya miezi 2 ili mradi ina warranty.
Kama kuna mwenye aina tofauti pia lakini ambayo ni nzuri kwa ajili ya...
Kipaumbele hizo sehemu, hasa kinondoni.... Chuma, sebule n iwe self contained. Pia chumba tuu kikiwa self contained nitacheck pia. Iwe sehemu ya karibu na barabara na hali ya...
Habari zenu wanajamvi
Naomba kupata msaada wa maelezo kuhusu SUzuki escudo ya mwaka 2001, cc 2000, petrol inayoonekana katika picha hapa chini katika ishu ya uendeshaji (Namaanisha mafuta). Je ni...
ALL DUTIES PAID REGISTERED NUMBER BB.
Year of manufacture 2001
engine 3RZ PETROL
2700CC
PERFECT CONDITION INCLUDING ALL 4 NEW BF GOODRICH TYRES
PRICE 25M
CONTACT 0715 881881
Habari gani wana jf?, ninashamba hekari 20 maeneo ya BIGWA wilaya ya mkuranga, shamba lipo katika sehemu nzuri karibu kabisa na kisima kikubwa cha maji, pia shamba lina ardhi nzuri ambayo mazao...
Macbook Pro i5, 500GB (2012)-------700,000Tsh(Tatizo ni charger connector port Tuu)
Ps3 250GB, Padi moja na cd mbili--------200,000Tsh(Tatizo ni Disc Ejector Tuu)
Galaxy Note 2...
Helow wana JF
Kama heading inavyosema apo juu nauza my blackberry curve 8520, bei ni sh 150,000 ( laki na nusu ). Ila inatatizo la sensa imeanza kuchoka na housing ni ya kubadilisha maana...
Have you ever been curious about your future concerning that important thing in your life or just making the right decision about it because you think you can't risk it, what ever it is...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.