Habari wanajamvi.. kwa mara nyingine device zimekuja. Kwa anayehitaji anaweza ni PM.
Ni vodafone ZTE - Unaiplug kwenye TV na itakuwezesha kusurf online.
Inatumia Android OS.
Memory card...
IPO DSM
SPECS:
Processor: Intel Pentium CPU P6200@ 2.13ghz
Hard disc: 320 GB
Ram: 4GB
System type: 64 Bit os.
Imetumika ila iko kwenye hali nzuri na inapiga kazi vizuri, iko na wireless mouse...
Wadau,
Nina Kiwanja kinauzwa Moshi mbele kidogo ya KCMC, karibu na Usharika wa Neema.
Kiwanja ni Kikubwa, eneo la 35m x 35m = 1,225-Sqm na hakijapimwa.
Kiko Mtaa Mmoja kutoka Barabara kuu...
kiwanja kipo njiro arusha eneo la kwa masista block J kinaukubwa wa 15 kwa 25 na kina hati miliki (title deed), na udongo wa ardhi hiyo ni mwekundu. Bei ni shilingi miliono thelathini...
kiwanja kipo njiro arusha eneo la kwa masista block J kinaukubwa wa 15 kwa 25 na kina hati miliki (title deed), na udongo wa ardhi hiyo ni mwekundu. Bei ni shilingi miliono thelathini...
Habari wana JF Mimi natafuta majogoo ya kisasa ambayo yameanza kuwika au yako karibu sana na kuanza kuwika. nahitaji mengi zaidi ya hamsini. kwa yeyote anayefahamu mahali yanauzwa naomba anijuze...
Mimi ni mvvlana wa miaka 23,ninakipaji cha kuigiza na kucheza filamu,lakn cjapata kikund cha kwenda kufanya nacho kaz.Naomba m2 mwenye uwezo wa kunisaidia ili niweze kutimiza ndoto zangu.
Legacy Impresion Company
P.O.Box 12800 Dar es salaam
Kijitonyama:Plot 428, block 44 mkabala na Kanisa la K.K.K.T
KWA: GRAPHIC DESIGN,PRINTING,WEBTECH NA STATIONARIES
Simu: 0713 603699/0767 603699...
Dijitali ndio hiyoo imetushtukizia sie walalahoi hadi leo hatujaamini kama wamezima kweli na tunahisi watawasha tu analojia,
nahitaji kuwa dijitali na mimi ila ka uwezo kangu kadogo, nipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.