Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Natafuta fundi wa jiko la umeme,plate moja sasa haifanyi kazi(haileti moto mkali)kama hapo mwanzo ni leo tu ndio hili tatizo limejitokeza,aina ya jiko ni Oscar 2 plates hutumia umeme na 2 platess...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna viti vya saloon ya kiume vinauzwa laki 9.5 vikubwa na vidogo ni 7.5 Pia kuna makabati ya watoto yanauzwa lenye droo 4 ni laki 1 60, droo 5 ni laki 1 tisiini. ALL NEW
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nauza Laptop DELL na ipo katika hali nzuri sana na inafanya kazi bila ya matatizo.Bei ni Tsh 480,000 na ilitumika uingereza na sasa ipo Dar.Kwa mahitaji tafadhali wasiliana kwa namba hii...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
SIFA Hard disk 240GB, Ram 4GB Processor 3GHZ. monitor ni LCD (flat screen), Brand-Dell latitude B66L15.. Computer (Pc) ni mpya kabisa. Serious buyer contact me 0656063933.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau nahitaji sana ijulikanayo kama Matsushita Easy Photo printer je hapa jiji Dar naweza kuipata wapi na nibei gani? Nimejaribu kuzunguka sana hapa da sijafanikiwa kwa mdau amabaye anajua...
0 Reactions
0 Replies
605 Views
Salaam wakuu. Hivi hapa DAR kuna sehemu naweza kupata mashati ya size 16-18,lakini ya good quality?hata kama ni local made?? Sihitaji branded lakini naweza ku afford kama 30-40,000TZS/shirt...
1 Reactions
35 Replies
10K Views
toshiba tablet GB 14 IKO katika hali nzuri napenda niwe muwazi niliitoa pin yake ya kuwashia ivyo lazima utumie kitu kuwashi kama kalam au ufunguo...inakaa na chaji masaa nane ukiwa unaangalia...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
:israel:SASA UNAWEZA KU UNLOCK SIMU YAKO AINA YA HUAWEI, LG, PANTECH NA ZTE HAPO HAPO ULIPO :israel:BILA KUJA OFISINI KWANGU.:israel: BEI FOR REMOTE UNLOCKING NI TSH 20000/= UKIJA OFISINI BEI NI...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Nauza Laptop ACER na ipo katika hali nzuri sana na inafanya kazi bila ya matatizo na inakuja na Battery mpya.Bei ni Tsh 430,000 na ilitumika uingereza na sasa ipo Dar.Kwa mahitaji tafadhali...
0 Reactions
0 Replies
792 Views
Wapendwa wana JF, kama kuna anayetafuta eneo la kununua au anayemfahamu anayetafuta ardhi ya kununua nina karibia heka mbili Gezaulole na ninaziuza. Mambo hayaniendei vizuri na nataka hii hazina...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari! Nauza CD mbili za PSP ( GTA liberity city na gangs of london) kwa 20 zote Pia nina adapter ya psp if interested( for 25 only) 0712 507060 karibuu
0 Reactions
0 Replies
902 Views
Make: Mitsubishi Model: Pajero GDI Four Wheel: Yes Colour: Pearly White Year: 2000 Engine Capacity: 2000 Fuel: Petrol Milage: 81054 km Price: 13 Million Tshs(Open to negotiations) Location: Dar...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau boda boda (pikipiki zilizotumika aina ya t-better na sanlg zinauzwa. Zipo katika hali nzuri na zipo dar es salaam. DOCUMENT ORIGINAL ZOTE ZIPO,,Kwa wanunuzi ni pm
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Ardhi inauzwa Bagamoyo, wastani wa dakika 10 kwa gari kutoka Bagamoyo mjini,upande ambao si wa bahari. ukubwa ni nusu acre na zaidi kidogo.Sehemu ni ya mchanga na inafaaa kwa kujenga tu.Bei 2.9M TZS.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Helo JF members, Am selling my rav 4 3 door 2002 model, it has 1 year and 3 month since imported and the price is 10 million. And it has exemption. If interested call 0716-369299 or what's up...
0 Reactions
2 Replies
903 Views
Samsung S3- Tsh 850,000 HTC One X- Tsh 850,000 Nokia Lumia 900- Tsh 800,000 Nokia Lumia 920-Tshs 950,000 LG P870- 670,000 For specifications of any particular phone mentioned above, please visit...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu ! Kwa mahitaji yako ya some of stationaries like computer paper, catridges, thermal rolls etc. Pm me Bei poa kabisa
0 Reactions
13 Replies
2K Views
heshima kwenu wakuu nahitaji tv lcd inch 24 na generator aina yoyote kama itakuwa ya kisasa itakuwa bora zaidi mi nipo tabora mawasiliano ni 0785854807 au benardkombe043@gmail.com. natanguliza...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hello JF, Looking for serious buyer,no dalali.I am selling my car,very considerable price,silver in colour,BRJ plate number. Feel free to call,0712 203565.(u will never beat my price anywhere else.)
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Naomba ushauri wana JF,nimejikusanya na sasa nataka kununua ka gari angalau ka kunifanya niwe mobile kuliko nilivyo sasa,na ka gari ninakopanga kununua ni Toyota caldina,naomba ushauri wenu...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Back
Top Bottom