We supply fresh/frozen pork meat of your choice from different portions such as Bellies, Chumps, Collar or Neck Ends, Feet/Trotters, Heads, Hock, Leg, Loin, Ribs, Shoulders etc. We take orders of...
A stand alone property located on Mbezi Beach, has got parking area, three bedrooms, one-en suite, dinning, kitchen, and living room, two wash rooms, ceiling-gypsum, floor type-terrazzo...
Professional Video Camera inauzwa. Imetumika lakini ipo katika hali nzuri sana. Aina ni SONY DSR-PD170 Bei haipungui shs 1,200,000. Sikuweza kuweka picha hapa ila kwa kufuata hiyo link unaweza...
Nauza Laptop DELL na ipo katika hali nzuri sana na inafanya kazi bila ya matatizo.Bei ni Tsh 480,000 na ilitumika uingereza na sasa ipo Dar.Kwa mahitaji tafadhali wasiliana kwa namba hii...
Kiwanja kinauzwa eneo la burka block a,ukumbwa ni medium density. Skwea mita 866 sawa na hatua 41 urefu kwa upana 20. Ni eneo zuri mnoo lenye mpangilio wa makazi. bei 28m ila maelewano yapo . kwa...
habari JF, Kuna nyumba kubwa na ndogo zinapangishwa karibu na mlimani city. nyumba kubwa ina vyumba vitatu, sehemu ya kulia chakula,sehemu ya jiko, public toilet. katika vyumba hivyo vitatu...
habari JF, Kuna nyumba kubwa na ndogo zinapangishwa karibu na mlimani city. nyumba kubwa ina vyumba vitatu, sehemu ya kulia chakula, jiko, public toilet. katika vyumba hivyo vitatu kimoja wapo ni...
Chumba kina choo pamoja na sitting room , kipo ndani ya gate gari inaingia luku mnatumia familia 2 . kipo maeneo ya Fao hapa kinondoni , kodi laki 140,000 unaweza lipa hata miezi 6. mimi ni...
jamani kwa wale ambao wanatafuta fundi wa computer nipo unaweza kunipigia 0655684396,nafanya installation ya windows ssp2,ubuntu,ssp3,7,antivirus,maintanance
wadau kwa anayefahamu utaratibu wa kupata viti ,meza na friji kutoka kwenye makampuni ya soda(pepsi & cocacola) na bia kwaajili ya Bar ,naomba anifahamishe.
Wadau naulizia bei ya water tanki lenye kuchukua ujazo wa lita 5000. kama inawezekana mwenye ufahamu na haya mambo anipe bei na kiwanda lilipotengenezewa.
Natanguliza shukrani zangu.
Nyumba ya kupanga inatafutwa, iwe na vyumba viwili vya kulala na kimoja ni master na choo cha public kizuri, sebule, jiko safi, stoo na vyumba vingine muhimu, maeneo kuanzia kurasini, chang'ombe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.