Wadau nimeonana na wakulima kadhaa hapa Singida na wanacabbage ya kutosha sana tatizo soko hawana nikaona ni bora niwatafutie soko kupitia hapa jamvini. Tafadhali yeyote anayefahamu juu ya soko la...
Habarini,
mi ni mkulima na nategemea kuotesha mwezi wa 3. Nina tatizo moja, bajeti yangu ya kusafisha shamba haendani na matakwa ya wanakijiji walionizunguka kwa sasa. Niko tayari kutoa 50,000 TZS...
Model 1H-2E
1984 cc
180,000km
8kpl
Running condition. Engine in excellent condition. Suitable for enthusiast/tuning.
Needs some TLC - Bits and pieces falling off:tonguez: Some original parts may...
OPEN AND COMPITE AND YOU WIN NOW Bongo Gadgets - No.1 Electronic Store - XTouch - Crony - WinTouch - iTouch - Sony - Samsung - Nikon - Apple - Shop on a secure way from our wide selection of...
Kifaa hiki kinatafutwa wapi kitapatikana mwenye info ani pm donge nono kwa atakaye fanikisha
​
50 BMG BARRETT SNIPER RIFLE
risasi hizi 14.5×114mm cartridge.
Jamani, Valentines Day inakaribia mno. Kwa wale wenye wapenzi/marafiki/wake/nyumba ndogo/vidumu/vigango mnaweza kuchungulia hii page yetu ya Valentines Day Special Offers
Aloe Vera...
Habari,
Ninauza mayai ya kuku wa kisasa
Bei ni 5500 kwa tray wholesale, maongezi ya bei yapo kama utahitaji trays nyng zaidi
Napatikana Arusha,
contacts:
0717-543373
0766-544750
0786-305664
Karibuni
Nauza used Hard Drives za Desktop computers zilizotengenezwa na kampuni ya Seagate. Nilikuwa nikizitumia wakati nafanya practicals za Hardware Engineering. Ni mbili - 40GB na 80GB.
Tuwasiliane kwa...
Shamba linauzwa kwa bei cheee, wahi sasa mapemaaaaaaaaaa arthi ni mali, shamba liko kiwangwa bagamoyo, bei nafuu sana, millioni moja kwa acre, kwa maelezo zaidi ni pm.
WanaJF, hili shamba ni tambarare na limeendelezwa; ukubwa ni eka 10. Liko karibu na mji mdogo wa Kikatiti, 3km kutoka barabara ya Arusha-Moshi. Miundombinu yote muhimu iko karibu. Nyaraka za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.