#Kigamboni city. Apartment for rent. Tsh 250,000/= tu Chumba kimoja Cha kulala ambacho ni Master. , ukumbi na jiko. Zipo nyumba 9 zinatumia geti moja kuu, pia Kuna ghorofa ambapo ground floor...
Kwema wanajf kwa mtu anayeuza nyumba aweke taarifa za nyumba na picha zake mf nyumba inauzwa ina vyumba vingapi iko maeneo gani na bei yake na anayehitaji nyumba aseme anahitaji nyumba aina gani...
Habari zenu wakubwa, mimi ni mwenyeji wa Arusha, ila nina trip nyingi sana za Dar Es Salaam, nimefikiria si mbaya kama nitakuwa na kaenea na kujenga kajinyumba kangu kadogo kakufikia Dar Es...
Habari!
Natafuta kiwanja kati ya maeneo yafuatayo Dar Es Salaam.
1. Goba
2. Kigamboni
3. Kinyerezi
4. Madale
Siyo lazima kiwe kimepimwa. Mwenye nacho ani PM.
Asante sana
Sent from my...
Habarini natafuta kiwanja Dar es Salaam maeneo ya Kibamba, Goba kiwe kizuri si ndani sana wala mbali sana.
Bajeti milioni 5.
Kwa mwenye nacho aniambie.
Habari natafuta kiwanja eneo la chamazi. Kuanzia magengeni mpaka maeneo ya azam.
Bajeti yangu ni milioni 4 kushuka chini.
Kama unacho toa sifa zake kama size kikoje na kiko chamazi ya wapi ili...
Mpendwa mteja napenda kuwajulisha kuwa sasa kuna punguzo maalum
Ni majeneza ya kisasa kabisa yenye ubora na muonekano wa kuvutia!
Kwa mteja aliyepo Dodoma atapata huduma ya kusafirishiwa mzigo...
Kama mnavoona hawa ni jamii ya sungura wa nyama wenye uwezo wa kukua kuwa kima kikubwa sana!
Kifupi ndo sungura wakubwa kuliko aina zote za sungura
Kwa hapa tanzania wanapatikana wap
Natafuta kuku aina ya Kuchi kwa Mwanza au mikoa ya karibu kama Simiyu au Geita na Shinyanga
Mikoa maarufu ; Niliwaona mara ya mwisho Tabora. Lakini tafiti zinaonesha hii mikoa wanapatkana...
Habari zenu ndgu zangu wanajamii forums. Natumai mu wazima.
Naombeni msaada wakuu, mi ni kijana ambae najitafuta bado.
Msaada ninaoomba ni kiasi cha shilingi 200,000 (laki mbili) za kitanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.