Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Friji ni kubwa milango miwili Inagandisha vizuri, Haina tatizo lolote Mahali Goba njia 4
2 Reactions
8 Replies
788 Views
Habari za mwaka mpya ndugu zangu ma GT. Leo nawaletea habari nzuri, kuwa nina nyumba 3 nazipangisha KODI kwa mwezi ni shilingi 100,000/= tu. Pia jinsi gani ya kilipia Kodi yako ya mwezi utachagua...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari, Ninaomba msaada wa namna ya kuandika tangazo la upotevu wa cheti kwenye gazeti la serikali
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Sofa used zinauzwa bei Tsh 200,000 kwa zote mbili. Zipo Mbezi kwa Musuguri Dar es salaam. Mazungumzo yapo. Kwa mwenye uhitaji tuwasiliane kupitia namba 0762890123.
1 Reactions
0 Replies
520 Views
Wakuu, tunauza kuku wa nyama (broilers) kwa bei ya 6500. Tupo Kigamboni, Kibada. Mawasiliano: 0625082911
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Simu ni Full Boxed Mpya Storage 128GB Bei 600,000/- [emoji338] 0768689694 Ina Warranty ya Mwaka Mzima
0 Reactions
1 Replies
399 Views
Natafuta usafiri wa kusafirisha kuku kutoka Kahama hadi Dar es salaam kwa bei pouwa na kwa usalama mkubwa
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Beach plot imekatwa Viwanja kigamboni mita 15 au 20 kutoka Daraja la Nyerere. Narudia Tena mita 15 kutoka DARAJANI. Vipo vya 4 Milion na 6.5 Milion. Vipo Viwanja 25 10 vishauzwa bado 15. Karibu...
0 Reactions
9 Replies
854 Views
Aina kipengele. Chombo imecmama unawasha na kuondoka Bei 1.5 mazungumzo yapo kidogo Ipo Morogoro 0624720144
0 Reactions
6 Replies
1K Views
TUNAUZA RICE MILLING MACHINE. Call/Text 0747 608 608 Bei 1.500.000/=Tsh ●Hii ni mashine maalumu ya kukuboa mpunga . [emoji830]︎Inakoboa 300kg kwa saa. [emoji830]︎Inatumia umeme wa...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Nauza kiwanja cha 100/50 maeneo tajwa hapo juu. Eneo lina huduma za umeme, maji, ulinzi, kiroho nk. Ni fast growing area on buildings. Lina hati timirifu. Eneo lipo katikati ya makazi ya watu on...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nyumba zote zote Zina jumla ya vyumba 9, vitano master na vyumba Vinne vimeisha kabisaa na Kuna wapangaji tayri. Kuna jiko, sebule kubwa, choo Cha public, dining room. Kiwanja kina square mita...
0 Reactions
5 Replies
916 Views
Habari Wakuu mbalimbali... Nahitaji gari aina ya Nissan Dualis kwa budget ya 13.5 - 14 M. . Napendelea Nyeusi but kama ipo rangi tofauti na hiyo pia ni sawa . Waweza nitumia picha na details zake...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
[emoji3]
0 Reactions
4 Replies
519 Views
Kwa anaejua naomba anijuze kiwango kiwango cha kawaida cha ushuru wa kuingiza toyota ist kinachotozwa na TRA
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habarini wanajamvi, karibuni sana niwapatie huduma ya zuku unlimited home internet, ni huduma nzuri yenye kasi zaidi, free device(router), na free installation kwa wateja wetu. huduma kwa sasa ni...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Back
Top Bottom