Nauza fridge kampuni ya Samsung
Linagandisha vzr sana
Contact: 0789572313
Location: Makongo juu
Bei :350k
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
JE? WEWE NI MIONGONI MWA WANAOZIPUUZA TAA YOYOTE YA TAHADHALI KWENYE GARI YAKO.
✓Taa ya tahadhali Ni aina ya taa inayowaka katika gari yako inayotumika kukupa taarifa ufanyaji kazi usiokiwa wa...
Heshima kwenu!
Boma pichani linauzwa lipo Kichangani,Tanga mjini umbali wa takribani 15km toka katikati ya jiji la Tanga.
Ukubwa wa eneo ni mita 15X20
Boma lina vyumba 7 vyote vina vyoo vyake...
TECNO kwa kushirikiana na INALIPA inakuwezesha kuwa miongoni mwa wamiliki wa kwanza wa TECNO CAMON 19 mara baada ya kufanya PRE-ORDER kutoka katika tovuti ya INALIPA Inalipa na ujipatie punguzo la...
inapoza na kugandisha.
haina shida yoyote.
pugu-Dampo Dar es salaam
tupigie 0713096076 achana na comments.
245,000 Tshs only. Maongezi kidogo kuhusu usafiri yapo, only in Dar es salaam.
-Hizi hukinga kioo cha gari yako na athari za jua la moja kwa moja (direct sunlight)
- Ulishaegesha gari mahali ukaingia na kukutana na joto la ajabu na la kukuunguza unapokaa kwenye siti...
Wakuu kama heading inavyosema, ni buti ya mtoto wa kiume wa around miaka mitatu hadi mitano
Ni vema akawa shabiki wa mabingwa wa NBC premier league kwa kua rangi zake zinasadifu kwa ukaribu...
Kwa mahitaji ya tshirt kali na Truck suits za kijanja. Karibu sana kwenye duka letu linalopatikana MTAA WA CONGO NA MARUNG’OMBE. Kwa bei nafuu kabisa.
Tshirts 16,000/-
Trucksuits 28,000/-
Pensi...
Habadi z majukumu,
Nauza mziki wa gari full kabisa,
busta Watts 1,3000
Speaker JBL Watts 1,200 (zipo mbili katika box moja)
Equlaizer
Vyote Kwa pamoja nauza 800,000
Unachukua na kufunga...
Wadau Plumbing Ni Group la Mafundi Bomba Wenye Ujuzi Kamili (FTC) Kutoka Vyuo Mbalimbali Nchini. Ikiwemo Veta na Donbosco.
Wadau Plumbing Tunajihusisha na Mambo Mbalimbali Kama;
1. Kusambaza...
Asalaam alaikum
Nawatangazia kua nina kiwanja nauza ambacho kina sifa zifuatazo
. Kiwanja kipo maneno ya Kigamboni maeneo ya puna
. Kutoka barabara kuu ni meter 50
. Kiwanja kimepimwa na tayari...
Tafadhari rejea kichwa hapo juu, kama ambavyo tumekuwa na sessions kadhaa za ujifunzaji wa namna ya uandaaji na uzalishaji wa bidhaa mbalimbali kama:- 1) sabuni ya mchele na ya maji kwa ujumla...
-kiwanja kipo kigamboni ,mjimwema kibugumo
-umbali kutoka main road ( barabara kuu ya rami ni 800 meter. ( kituo shule ya msingi kibugumo karibu na ofisi ya mkuu wa wilaya na mkurugenzi...
Habari!
Tunauza mota za umeme (AC) za mageti kwa ajili ya matumizi ya nyumbani, ofisini, kiwandani n.k. Mota zina uwezo wa kubeba/kusukuma geti lenye uzito wa hadi 1200KG (1.2 Ton) na zinakuja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.