Wakuu habarini za jioni.
Kwa yeyote mwenye kreti tupu za soda na bia kampuni yeyote Ile na anataka kuziuza, naomba tuwasiliane.
Hata kama unazo kreti 1000 au zaidi nitazinunua, nipo morogoro mjini.
"DIGITAL EDUCATION."
Pata SOFT COPY YA VITABU VYA T.I.E. masomo yote kuanzia darasa la awali hadi la saba. SWAHILI MEDIUM & ENGLISH MEDIUM.
Bei zetu ni nafuu kabisa 1000/= kwa somo moja na darasa...
Toyota Noah Namba T.169 DGH inauzwa. Ipo Dar es Salaam
Ni 4 Wheel Drive
Ya Mwaka 1996
Imetembea KM 276,907
Bei Tsh.9,100,000
Mhitaji anakaribishwa namba 0765451014
Asanteni
Moja kwa moja niende kwenye mada wadau nahitaji mwenye moja ya hizo gari hapo juu ani pm sitaki dalali narudia dalali usije anga zangu unaeuza uwe mwenye gari ukija dalali nakutoa nduki maana nyie...
KWA MIL 9 PEKEE MILIKI RUMION KALIII HUKU 9MILLION INAYOBAKI LIPA KIDOGO KIDGO KWA MTINDO WA MAREJESHO YA MWAKA MZIMA
TOYOTA RUMION
Model: 2008
Stock No: 0090
Engine Capacity: 1490CC
FEATURES...
Habari zenu wakuu,
Ningependa kufahamu bei za tambi (Jumla) kwa hapa Dar ipoje? Kwa jina lingine ni pasta au spaghet. Kama kuna anayewafahamu wauzaji wa jumla anaweza kunipa mawasiliano yao...
Wakuu,
Aliye dodoma ambae anaweza nisaidia kupata Chumba Master (self contained room) kubwa au na sebule yake eneo la kisasa au Nyumba 300 naomba awasiliane na mimi.
Pia kama una namba ya dalali...
Wakuu, nimeanza kuzalisha Juice ya nafaka au Togwa kwa jina jingine na kuipack kabisa, Yaani inakuwa packed na inakaa muda mrefu sana.
Togwa zinanywekwa kwenye nchi nyingi za Africa ukianzia...
Trekta lipo Morogoro mjini(nanenane), lipo katika hali nzuri sana. Unaruhusiwa kuja kulikagua. Ni 4wd na ni 75hp. Unauziwa pamoja na jembe lake.
Bei ni 36m. Mazungumzo yanaruhusiwa. Namba za...
Pikipiki nzuri, imesajiliwa Tanzania mwaka 2018, inatembea vema na ipo Dar es salaam kwa sasa. Bei ya kuanzia mazungumzo ni million 11 (pesa ya Tanzania milioni kumi na moja), mazungumzo...
Heloo wakuu habari
Ninauza kiwanja kina ukubwa wa sqm 540(20X 27) kipo bunju B mtaa wa kihenzile .ni umbali wa dk 8 kutoka barabara kuu ya bagamoyo.,kipo eneo zuri jirani kabisa na club ya simba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.