Kama unamiliki kampuni Iliyosajiliwa na una website yeyote ya mauzo mtandaoni. Unaweza ukaendelea kusoma.
Kwa wale wenye website tunajua kuwa, tatizo kubwa lililopo kwa sasa ni mfumo wa malipo...
Nimekuwa nikifuatilia kwa mbali sana na kuona ni jinsi gani siku za karibuni USD haitakuwa tena reserve currency ya duniani. Kuna mipango mkakati wa iliyonyuma ya IMF kufanya SDRs (Special Drawing...
Tunatoa huduma ya usindikaji samaki kisasa, samaki Hawa husindikwa kwa kutumia machine niliyotenegeza hapahapa Tanzania.
Machine yetu hutumia umeme na gas na samaki huchukua masaa saba...
Tunauza miti (mirunda) Kwa ajili ya ujenzi wa magorofa , nyumba za kawaida au matumizi mengine tuna mirunda takribani 900 PCs bei yetu ni nafuu sana
Mawasiliano. sangmelina85@gmail.com
Wenzangu mnaopenda kupendeza, natafuta sana kiatu cha vans cha mtumba, maana bei yake kutoka nje naona ya moto sana siwezi kufika.
Kama kuna anaweza kunisaidia kupata vans namba 39 ntashukuru sana...
Wadau salama. Naomba kujua ni mtaa gani Kariakoo wanakouza baiskeli hasa hasa za watoto.
Au kama sio Kariakoo, sehemu nyingine ambapo zinapatikana kirahisi.
Asanteni
We are NEW DOUBLE OCEAN LOGISTICS COMPANY LTD, a registered and licensed clearing and freight forwarding company in Tanzania.
We provide cargo and car clearance from dar es salaam port and other...
Nina hadithi yangu ya kijasusi inayo enda kwa jina la ULIMWENGU WA WATU WABAYA, ni miongoni mwa hadithi bora sana kuwahi kuandikwa nchini Tanzania.
Nicheki kwa namba 0621567672 WhatsApp au kupiga...
Fahamu Cement zinazozalishwa Tanzania na ambazo zipo sokoni.
Nitaeleza Kwa ufupi na sitaenda kitaalam kiundani Kwa faida ya wengi.
Cement zipo za aina nyingi Tokana na,
1: Material...
Makubaliano kati ya mpangaji na mwenye nyumba ni jambo muhimu sana kufanyika.
Makubaliano kati ya watu hawa wawili ndio muongozo wa mahusiano, na jinsi ya kukabiliana na changamoto mbalimbali...
Habarini wakuu.
Ninahitaji gari kati ya IST, Vitz, Swift na Suzuki Jimmy. Budget yangu ni 5.5. Sihitaji dalali, nataka niwasiliane na mmiliki moja kwa moja.
Asanteni.
DODOMA LANDLORD COMPANY(DLC)
TUNAKULETEA HIZI HAPA APARTMENT NZURI ZINAUZWA.
[emoji1485]mahali:-MICHESE DODOMA MJINI. MKABALA NA RELI YA SGR.
[emoji1485]NYUMBA ZA KWANZA BAADA YA RESERVED ROAD...
MABATI SOLD OUT BIASHARA IMESHA FANYIKA YAANI MABATI TAYARI YAMESHANUNULIWA NAWASHUKURU WOTE NA SAMAHANI KWA USUMBUFU, BIASHARA NAZOFANYA NO RONGO RONGO SIKU NYINGINE CHANGAMKA
Mabati yanauzwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.