Habari wafanyabiashara! Rejea kwenye kichwa thread.
Kama wewe ni mfanyabiashara wa vyakula kama chips, nyama za kukaanga kama kuku na kitomoto utakuwa umeishanielewa kwa uzuri kuhusu mafuta...
Habari wakuu..!!
Hii ni habari njema kwa wale wote wageni na wenyeji wenye uhitaji wa viwanja na mashamba ndani ya jiji la Dodoma.
Kinacho fanyika ni, mimi ninakutafutia kiwanja ama shamba ndani...
Nauza kiwanja changu kina ukubwa wa mita 70 x 70 (zaidi ya ekari moja) kiko karibu na barabara ya rami, karibu na hospitali ya rufaa ya chato, bei ndogo tu maelewano
Habarini members.
Kuna mzigo wa vanilla safi iliyokaushwa vizur unatafuta mnunuzi/mteja.
Kiasi kilichopo:Tani 40
Bei kwa kilo : Tsh1,100,000/= (negotiable)
Mahali mzigo ulipo: Comoro
Mzigo...
TANGAZO
!
Kozi ya kufundisha Kiswahili wageni
Asasi ya swahilispeaking.co.tz (Dar es Salaam, Tanzania), inayojishughulisha na ufundishaji wa Kiswahili kwa wageni inatarajia kutoa mafunzo mafupi...
Tuna tengeneza Milk Vending Machine (Milk ATM). Kwanzia ujazo wa lita 50,100,150, 200 hadi Lita 600 ya maziwa fresh yaliyo chemshwa pamoja na ya mtindi na yoghurt ,kwa bei nafuu sana...
TANGULIZA 9MILLION PEKEE
KUPATA MKOPO KWETU NI RAHISI BILA MASHARTI MAGUMU WA MAGARI KUTOKA JAPAN
1.UTAWASILISHA KITAMBULISHO UKIWA NA TIN# YAKO PAMOJA NA PASSPORT SIZE.
2.UTANGULIZI WA...
Tunatoa maelekezo na msaada kwa wanachuo na wasio wanachuo ambao wanahitaji kuandika Proposals, business plan, Research na Esay. Haijalishi ni ya conpetition au ya submission ambapo hakuna...
Ni jioni nyingine nzuri ya kuwakumbusha kuwa nawaagizia watu vitu kutoka china kwa bei nafuu kabisa.
Life without music is boring, Njoo tukuagizie lg home theatre au sony soundbar system kwa Tsh...
Wakuu igweeee
Naomba kujuzwa au kujua utaratibu wa kupanga kwenye zile nyumba za Magomeni Kota zile mpya
Kama kuna mtu anakaa hapo anipe Raman alipataje nyumba pale
Na mambo ya rent yako vipi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.