Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
MITUNGI EMPTY IPO 20 INAUZWA JUMLA 350,000/- MIKUBWA MITATU; Oryx 1, ogas 2 MIDOGO KUMI NA SABA; oryx 4, lake 4, ogas 3, taifa/mihan 5, Manji 1 Ipo Mikwambe, Kigamboni Siuzi mmoja, nauza yote...
3 Reactions
9 Replies
978 Views
Katika muendelezo wetu wa kubuni vifaa vya ujenzi vya kipekee vyenye ubora wa hali ya juu na gharama nafuu, sasa tuna pavers paving bloks za kipekee Tanzania (kama sio duniani). Pavers zetu hizi...
2 Reactions
4 Replies
939 Views
Habari wakuu, Ninanunua kuku wa kienyeji, kuku wa kisasa(broiler), chotara na layers (waliomaliza kutaga au waliokomaa vizuri). Hivyo naomba mwenye nao tuwasiliane au yoyote anaejua wapi...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habar wadau MAELEZO RIM 4 PCS... SIZE 17 TAIRI... 215/50/17 ZINAFUNGA KWENYE PREMIO, BREVIS, MARK X, HARRIER, DUALIS N.K BEI... 620'000 TZS MAWASILIANO.. 0755252659 ZIKO DODOMA MJINI PITIA...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Salaam ndugu zangu,kwanza napenda kuwashukuru kwa kuunga mkono uzi wetu pendwa wa, "Wapenzi wa magari mazuri ”. Ahadi yangu kwenu ni kuendeleza mazuri. Ili magari yetu yaendelee kuwa mazuri...
0 Reactions
0 Replies
748 Views
Nawasalimia wanajamvi. Pole na majukumu naomba nijielekeze kwenye mada mzee mmoja tunaefahamiana akanifuata kunitaarifu kuwa anauza shamba lake na ametafuta wanunuzi kwa mwaka sasa hafanikiwi...
1 Reactions
10 Replies
882 Views
Enwo la ekari 4. lilipo ni kigamboni ulongoni, jirani na kiwanda cha Afya maji na maziwa (camel) au na dar es salaam zoo.. au walipotaka jenga show room ya magari ya dar nzima... karibu sana ...
0 Reactions
5 Replies
518 Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Tunafanya shughuli ya kuuwa wadudu kwa dawa ambazo zimethibitishwa na mamlaka zote nchini Tanzania. Wadudu aina zote tunapambana nao warukao,wanaotambaa ...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini kwa mara ingine tena, Kazi yangu ni kukusaidia wewe mwenye biashara yako kama ni pharmacy,supermarket au biashara ingine yoyote ambayo utahitaji kuwa na mfumo/system ambayo itakusaidia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuacha Iphone sijajua ni Sim gani inaipa Upinzani Google Pixel kwenye Camera Kama ni Redmi basi tupieni picha zake hapa mimi natupia zangu za Google pixel Jamani kuacha Camera hiyo kiatu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Simu imetumika wiki Tatu Tu. Simu ni mpya na upya wake. Simu ipo kama unavyoiona kwenye picha hapo Chini. Your all welcome...........,........,.
1 Reactions
16 Replies
973 Views
Habari za wakti huu; Kwa jina naitwa Libera Niko Arusha ni binti wa miaka 22.Ninafanya biashara ya kuuza website na bidhaa nyingine za kidigitali.Mwanzoni nilikuwa nafanya shughuli ndogo ndogo...
7 Reactions
15 Replies
2K Views
Eneo la ekari 4. lilipo ni kigamboni ulongoni, jirani na kiwanda cha Afya maji na maziwa (camel) au na dar es salaam zoo.. au walipotaka jenga show room ya magari ya dar nzima... karibuni sana ...
0 Reactions
0 Replies
676 Views
Nina 250k kama kuna mtu anauza laptop mpya au used naomba tuwasiliane.
0 Reactions
7 Replies
791 Views
Kama wewe ni dalali uliobobea unaruhusiwa kushiriki nasi. Hii inakuhusu. Nyumba na kiwanja kikubwa karibu na shule ya renea Njiro inauzwa. Ina kiwanja kinachojitosheleza kuendelea kuijenga au...
0 Reactions
5 Replies
898 Views
Mimi ni Mjasiriamali, sasa kuna shughuli zimekwama kidogo nahitaji kama shilngi 70000 (elfu sabini). Dhamana yangu ni camera aina ya cannon iliyo katika hali nzuri na inafanya kazi ikiwa na lensi...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Rejea mada hapo juu, Nina bata wa kienyeji kwa ajili ya mboga na kufuga kama unaitaji nidm bei ya kitanzania kabisa Dume Uzito kg 4 - 5 Ana mwaka mmoja na miezi 6 Bei 30,000 Majike Wanaotaga wako...
0 Reactions
0 Replies
950 Views
Habari wana-jamiiforums, Tunauza mashine za kutengeneza Icecream (Icecream Makers Machines). Mashine zetu ni mpya kabisa. Pia endapo utanunua kwetu, tutakuelekeza jinsi ya kutengeneza icecream...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom