Cage za kuku wa mayai.
Layers Cage.
¹kutokana na mfumo wa cage zetu ulivyo boreshwa kuku watakuwa salama saana na kuepuka magonjwa kwa asilimia zaidi ya 85%.
²Usalama wa mayai ni 100% mfumo...
UZI HUU NI MAALUM KWA AJIRI YA KUSOMA NA KUPATA RIWAYA ZA JOHN WISSE.
UKIHITAJI KITABU CHOCHOTE UTAKIPATA KWA KUULIZA HAPA NAWE UTAJIBIWA HARAKA NA KUPATA KILE UNAKIHITAJI.
Samahani sijasalimia wanajukwaa
Nina shida sana na noti ya Mia tano ndani ya siku hizi tatu Jamani please mwenye nayo Naombeni tusaidiane Nampa laki moja keshi. Noti yoyote ya Mia tano...
THabari za muda huu...
Naitwa flame, Nimekuletea tangazo hili la kukuomba wewe kama mpenzi wa home decorations, I mean unahitaji bidhaa za mapambo ya nyumba yako kama vile mashuka n.k
Nakualika...
Mfumo wa Matokeo, report +Sms.
Kwa
1• Primary school
Swahili version
English version (for english medium school)
2• O level kidato cha 1 - 4
3• Advanced level Kidato cha 5 - 6
Ni mfumo...
Huwa ninaamini kwamba Humu JF wamo Mabilione hata hivyo napenda zaidi kuzungumzia uhalisia;
Ukiwa katika Jiji la Dar es salaam ukabahatika kutembea katika maeneo ya watu matajiri kama...
Habari zenu ndugu zangu wa jf.. leo tuangalie matumizi ya kifaa cha kujisafishia bidet.
Bidet nini? Hiki ni kifaa ambacho muonekano wake una fanana na choo cha kukaa (European type) matumizi...
Habari za mida hii wakubwa?
Naomba kuleta ombi hili kwenu mwenye uwezo asaidie.
Kuna mama mmoja (kamshirikisha mume wake) hapa anahitaji fedha kiasi cha Tsh milioni 5 (mkopo), anaweka dhamana...
Nauza nyumba ya vyumba 3, sebule , dinner room, jiko , vyoo 2- masterbedroom.
Eneo linalo zunguka nyumba hii lina ukubwa wa 28m × 14m , bei ni Tzs 7.5 milion.
Hii nyumba ipo VIWEGE KWA MPEMBA ...
Ukiwa wewe ni mtanzania ambae unatamani kuanza ufugaji wa nyuki lakni hujui pakuanzia, huna mtaji wa kutosha ,huna eneo rafiki kwa ajili ya ufugaji n.k , sisi kama watekelezaji wa mradi wa FUNYUKI...
Imarisha afya yako kwa kupunguza kitambi,kutengeneza six pack nk.
Machine hii inakuwezesha kufanya mazoezi zaidi ya 7 Na kusiadia kujenga afya yako
FEATURES
COLOUR:Black,orange white, pink...
Habari wanajf na wafanyabiashara, Motor hii ilikuwa inatumika kwenye Mashine ya Tofali Mixer yenye ukubwa wa 20hp bei ni Tsh 3mil ni Standard ya German.
Naomba msaada kwa mdau yeyote anayejua inavyopatikana au inapochapishwa mifuko ya kuwekea unga,mchele,maharage yenye nembo yangu, nataka vifungashio vyenye nembo yangu kwa kuwekea mchele kuanzia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.