Ipo kimara Stop Over mita chache kutoka barabara kuu-Morogoro road. Ina vyumba vitatu vya kulala kimojawapo kikiwa self contained, sebure kubwa, jiko na dinning. Ina Hati Miliki. Bei 125mil. Piga...
Nyumba ya vyumba 3 inapangishwa, ipo kigamboni South Beach Resort, sehemu salama na yenye fensi kuzunguka eneo lote la nyumba karibu 100+. Ni mita chache kutoka baharini, huduma zote muhimu zipo...
Ipo kimara stopover mita chache kutoka barabara ya
Morogoro.
Ina vyumba vikubwa vitano vya kulala na sebure kubwa
mbili.
Inafaa sana kwa matumizi ya Guest House.
Bei 58mil.
Piga simu...
Eneo kwa ajili ya matumizi ya shule linauzwa. Lina ukubwa wa
2400 sq meters. Lipo Mwanagati wilaya ya Ilala. Mwanagati ni eneo
Lenye viwanja 2000 vilivyopimwa ktk mradi wa viwanja elfu 20000...
A super large plot measuring about 2.24 Ha is ready for sale. This plot is allocated along the Arusha- Dodoma road, about 10km from the city center and about 2 km from the Arusha Airport. Arusha...
hello wanaJAMVI,
nauza kiwanja kilichopimwa,kina hati na kinalipiwa kodi ya ardhi kama kawaida.kina advantage nyingine kwamba kipo mwishoni na kuna eneo ambalo halijapimwa na halina...
Mkuu napenda kutoa pongezi zangu za dhati kwa ndugu yetu na rafiki yetu kwenye JF, kwa kuweza kufaulu viva voce examination na kutunukiwa shahada ya juu (Doctor of Philosophy) PhD. Najua...
please nahitaji toyota rav4, 5doors rangi yeyote, ila milage isizidi 120,000km, na bei pia isizidi 10m. iwe katika hali nzuri haijapata ajali ikaumiza vifaa vya ndani, mikwaruzo, dents hizo ni...
(Godwin) White 1995 Automatic Petrol V6 1998cc 122798 km 5doors Full AC Sports Lights with Bull Bar Duty Paid Price 7.5mil. Mawasiliano. 0717114409/0755312233
IWE NA UWEZO WA KUHIFADHI MAGARI MADOGO YASIYOZIDI 200
IWE DAR ES SALAAM KANDOKANDO YA BARABARA (MAINROAD)
IWE KWENYE UZIO (FENCED)
Kwa mawasiliano ya haraka niandikie kupitia...
Vipo Mbezi juu km 4 kutoka Bagamoyo Road. Size 20 x 20 kwa shs 7.5mil au 40 x 20 kwa shs 15mil. Havina Hati miliki certificate of occupancy. Utauziwa chini ya usimamizi wa serikali ya mtaa. Vipo...
KUTAKUWA NA KIKAO CHA WANAIRAMBA HAPO TAREHE 24 MAY SIKU YA JUMAMOSI (jioni) , WANAIRAMBA WOTE (pamoja na vikundi mbalimbali mfano; vya kuzikana, kusaidiana nk) WOTE WANAKARIBISHWA KUHUDHURIA ...
WADAU NaTAFUTA GARI NDOGO YA BEI NAFUU GARI KAMA MARK 2 ,CRESTA AU CHASSER GX 100,VITS AU CARINA ILIYO KWENYE HALI NZURI
OFA YANGU NI MILION TANO ZA KITANZANIA YEYOTE MWENYE GARI YA NAMNA HIYO...